Kwa wanaofahamu tu!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wanaofahamu tu!!!

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by galagaja mtoto, May 30, 2012.

 1. galagaja mtoto

  galagaja mtoto Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hivi hawa secreteriat ya ajira wanatumia njia zipi/kuita kwenye intavyu? nina wasiwasi nisaidieni. kwa wanaofahamu nisameheni kwa usumbufu wangu.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Nina mashaka na swali lako, unataka criteria au njia? Kama unauliza njia ni wazi wanatumia contact ulizoweka kwenye application zako!
   
 3. galagaja mtoto

  galagaja mtoto Member

  #3
  May 30, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  asante mzee, lengo sio kriteria bat komunikashen style yao, i mean sim, magazet, radio, tv, net, au chochote kinachofanana nacho, nijuzeni vyote ili niwe tuned
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Wanakupigia simu tuu.
   
 5. Zux de

  Zux de JF-Expert Member

  #5
  May 30, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 227
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Huwa wanatoa majina wale wanaotakiwa kwa ajili ya usaili. Na hutoa kwenye website yao na kwenye magazeti!
   
 6. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #6
  May 30, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,498
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  zux yuko ryt, wanatoa kwenye magazet au website zao.
   
 7. MAUBIG

  MAUBIG JF-Expert Member

  #7
  May 30, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 972
  Likes Received: 536
  Trophy Points: 180
Loading...