sasa mkuu umejuaje kama kuna kazi nyingi wametangaza? ni vyema ukajua nafasi za kazi pia uzingatie sana MASHARTI husika haitoshi kujua kuna nafasi ya kazi MASHARTI ni muhimu sana so naomba nikubandikia hapa masharti yao:kunakazi wametangaza ni nyingi sana.je bado wanataka watu wenye original cert or ata transcript watazipoa.mana wengine tusije poteza hela zetu kwa kuwachangia posta na wenye stetionaries.naombeni msaada wadau
transcript hazipokelewi, so jipange upate nakala ya cheti na iwe certified mkuu
Kaka acha kukalili,kulingana na tanzanzo hilo cjaona sehemu walipoandika kuwa copy za vyeti viwe certified,na huwa wanasema!hivyo tuwe 2natoa ushauri kulingana na tangazo husika,kwani mnawapa presha wa2 wanaohitaji kazi,na kwa nyie waomba kazi fanya kulingana na mahitaji yaliyopo kwenye tangazo husika,sio mnasoma juu juu 2.