Interview:kwa cv kama hii nakupa kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Interview:kwa cv kama hii nakupa kazi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Thanda, Apr 15, 2012.

 1. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Curriculum Vityae

  I am aply to my job of security guard to yu boss in you company of shoprite. I complete to std 8 examination certificate in 1997.

  My skool HLOMANI HIGH SKOOL very good.

  I am 27 ears to be born of age and no mallied and no childish.My father is dead long time ago and my mother mary in KWA-ZULU NATAL country there 10 years now,no see she so no body known to help me.

  My certificate is just sitting home for itself,but passes in mathematics, geography, science, and all subjects but fail in ENGLISH because of Mkhize teacher teaching meis jelas of myself. Me wear expenses cloth than Mkhize teacher.
  I here people you want security guards to you company and I tell you i am one of that job.I am experience for 2 years. I short thief dead. I want to join the company of you and chase criminal out with me AK47.

  Please consider my aplication careful and call me any time because me Have cellphone. I am redi for interview with you.I am very hornest and can speak english for free of charge.

  Please also great your wife.

  And rememba that english is not our mother land
   
 2. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  CV hii ni ya kweli iliwahi kutumwa katika moja ya taasisi za serikali na private companies kama shoprite huko South Africa...sitanii, huyu jamaa kwa ujasiri wake wa kuandika ukweli na kutokujua mpangilio wa uandishi wa CV na barua ya maombi ya kazi,"alizawadiwa kazi" na shoprite SA, na baadae akahamishiwa KITWE, Zambia katika moja ya mlolongo wa maduka haya makubwa ya bidhaa mbalimbali kama "Security Supervisor".

  Naomba hata kama hujui kuandika CV usihofu kwani hata hao mabosi huko ofisini mwao wanaangalia pia uwezo wa mtu, kwa mfano Utanashati wako, uwezo wa kujieleza, mvuto, utashi na aina ya kazi na pia kama unafundishika.

  Alipoulizwa kama yeye ndiye mwandishi wa hiyo na "prospective employer" alimjibu kwa upole na tabasamu safi lenye uchangamfu kama wa mtangazaji na mchambuzi wa michezo katika channel ya"Supersport" Mr Thomas Mlambo,,,(oh ndio, yes ni mimi mheshimiwa,kwani ina tatizo lolote bosi wangu?" huku akichanganya na lugha yake ya kizulu katika baadhi ya maneno.

  Ona ni jinsi gani alivyokuwa na nguvu ya ushawishi.Nitamtafuta rafiki yangu Similane Magutshwa aniambie huyu bwana yuko wapi kwa sasa.
   
 3. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,118
  Likes Received: 1,746
  Trophy Points: 280
  Nimeipenda! jamaa alikuwa real nadhani waliona wampe ili athibitishe kipaji chake!
   
 4. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #4
  Apr 15, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Dunia ni vita ukikaa nyumbani utakufa kibudu
   
 5. Myelife

  Myelife Senior Member

  #5
  Apr 15, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Hata mie nimeipenda, na hata mie ningekuwa ni miongoni mwa employer na mtu anataka kazi ya ulinzi anaongea ukweli mtupu, he is real deserve, maisha ni vita pigana, vita, vita ni kifo, kifo ni mwisho wa kila kitu. So kile unamiliki ni hazina pekee uliopewa na mwenyezi kitumie sasa
   
 6. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #6
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  mkipata muda muulizeni cv yake aliituma kampuni ngapi na ngapi zilijibu, binafsi mie nishaiona long time tena jamaa aliandika kwa mkono wako mwenyewe
   
 7. s

  sweke 34 JF-Expert Member

  #7
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 694
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  kibongobongo hiyo inatoswa mapemaaa...!
   
 8. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #8
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  jamaa kingereza chake ni kibovu lakini anaeleweka, duh! very funny.
   
 9. kau

  kau Member

  #9
  Apr 16, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 80
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  [Hata mie nimeipenda, na hata mie ningekuwa ni miongoni mwa employer na mtu anataka kazi ya ulinzi anaongea ukweli mtupu, he is real deserve, maisha ni vita pigana, vita, vita ni kifo, kifo ni mwisho wa kila kitu. So kile unamiliki ni hazina pekee uliopewa na mwenyezi kitumie sasa.]

  kumbe mko wengi eeehhh...
   
 10. m

  masamijunior New Member

  #10
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Imetulia,jamaa yuko 100% fresh,Hongera zake
   
 11. U

  Uncle Jei Jei JF-Expert Member

  #11
  Apr 18, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,203
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 280
  Tatizo wabongo wengi tunapenda kukimbilia kwa jirani kuficha uhalisia wetu! Mtu anapangilia cv vzr,ila akishapata ajira...
   
 12. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #12
  Apr 18, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  amethubutu...alistahili kuzawadiwa ajira...je ni wangapi tena wenye elimu za juu hawajiamini na kuthubutu kufanya hivi wamekaa tuu nyumbani na vyeti vyao?
   
 13. L

  Lgy8250 Member

  #13
  Apr 24, 2012
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeipenda wadau hata sisi na shule zetu wanatuhadaa na tunakubali bora mshikaji kajitutumua mzee kaeleza kile alichonacho na wakamuita kutestify na kawaimpres kapata kitengo so .....siri ya mafanikio ni kujiamini mzee kajiamini
  kapata dili Congratulation ziende kwa yeye Wabongo bado tuna kasumba kuwa msomi ni yule ambaye Ngeli inapaaaanda tuna Maengineer wengi hawapendi zungumza Kiingereza na kazi wanafanya vizuri kuliko washakaji ambao moingelingeli ipo karibu mzee ................

  Inabidi watu wabadilike wafanye mambo ya msingi na kujiamini kwa kile kidogo tulichonacho Ona Mizungu inakuja inatuwekea kipimo cha maendeleo kuwa ni kuwa na hichi na hichi wakati kwa upande wangu ukiwa unajitosheleza ni kipomo tosha vingine ni vya ziada tukiziubaa tutatawaliwa mpaka mwisho ...............
  tubadilike mazeee

  Mi nampongeza sana Huyu Security Guard
  Inaonekana atakuwa makini sana na kazi kwa maana anajijua akjzengua tu kaharibu
   
 14. L

  Lgy8250 Member

  #14
  Apr 24, 2012
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Usiposimama Utasimamiiwa :shut-mouth:
   
 15. L

  Lgy8250 Member

  #15
  Apr 24, 2012
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Usiposimama Utasimamiiwa :shut-mouth:
   
 16. Nguchiro

  Nguchiro JF-Expert Member

  #16
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 365
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  this is not serious!
   
 17. Mpitagwa

  Mpitagwa JF-Expert Member

  #17
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,298
  Likes Received: 213
  Trophy Points: 160
  confidence ni mhimu sana katika mambo haya. Na alivyosema mchangiaji wa mwanzo kila mtu ananyota yake. Mvuto unamata vilevile
   
 18. Chiwa

  Chiwa JF-Expert Member

  #18
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 17, 2008
  Messages: 1,379
  Likes Received: 691
  Trophy Points: 280
  hii nimeikubali kwa san tu wakati mwingine tunajikuta tunaacha watu wazuri na kuchagua wabaya kisa hawajui kiingereza uppuzi mtupu
   
 19. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #19
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Hii ni Cover letter au cv?
   
 20. M

  Mbofu JF-Expert Member

  #20
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ths guy is so smart kwa kweli..nmechekaje hapa.
   
Loading...