Natafuta opportunity

Mbuty

JF-Expert Member
Sep 16, 2011
411
236
Habari wapendwa,mimi nimehitimu IFM mwaka jana degree ya banking&finance,nina miaka 27 naishi Dar es Salaam,ni Mwanaume. Ni muaminifu,mwenye nia ya kujifunza,nina mahusiano mazuri&tabia pia. Nafahamu JF tupo watu wa aina mbalimbali pia naelewa umuhimu wa kuna na network nzuri,kwa yeyote atakayeguswa kunisaidia nitashukuru sana. Asanteni sana na Mungu awabariki.
E mail. wvevee@yahoo.com
0688658292
 
Salama mpendwa,mi pia nakushauri jaribu kutembelea site hizi Tanzania Directory for Business, Entertainment & Travel Info na brightermonday.com mara kwa mara unaweza kutana na post za elimu yako uka apply huwa mara nyingi nazikuta hizi...usikate tamaa hata kidogo wakati wako ukifika UTAPATA TU...mengine wapo watu watakusaidia humu.
God bless you too!!!
 
mbali na banking & finance unaweza kazi gani nyingine.....?
 
Ninauelewa wa Marketing,enterprenuership,customer service&business ethics,management,development studies,international finance,microfinance,treasury management,financial accounting,money&banking,electronic business&banking operations. Haya yote nimeyajua as i was pursuing my degree..
 
Salama mpendwa,mi pia nakushauri jaribu kutembelea site hizi Tanzania Directory for Business, Entertainment & Travel Info na brightermonday.com mara kwa mara unaweza kutana na post za elimu yako uka apply huwa mara nyingi nazikuta hizi...usikate tamaa hata kidogo wakati wako ukifika UTAPATA TU...mengine wapo watu watakusaidia humu.
God bless you too!!!

Asante sana kwa ushauri wako mzuri,nisingeweza kuyafahamu hayo kama nisingefunguka kueleza shida yangu,nashukuru kwa maelezo mazuri na nitajitahidi kupitia mara kwa mara.
 
nakushauri uanze kupiga mtaa kwa mtaa.. then anza kwa kuomba internship alafu humo humo ndo utapata michongo mingine
 
Unaulizwa una ujuz gan mwingie we unataja kozi zote ulizosoma!!..bt endelea kutafuta kazi nsikuchoshe mdogo wangu.
 
Kwani ujuzi ni nini? Kozi niliyosomea ni banking & finance mpendwa. Asante kwa ushauri.
 
Me ningependa tu nikupe moyo kwamba kazi utapata, cha msingi ufate ushauri kama ulivyoelekezwa na baadhi ya members hapa. Na pia uwe unafatilia sana magazeti kwani huwa yanatangaza nafasi za kazi... Nakutakia kila la Heri..Usichoke kumuomba Mungu wako.
 
Asante sana kwa ushauri na kwakunipa moyo,nitafuata ushauri wako pia. Nashukuru
 
Habari wapendwa,mimi nimehitimu IFM mwaka jana degree ya banking&finance,nina miaka 27 naishi Dar es Salaam,ni Mwanaume. Ni muaminifu,mwenye nia ya kujifunza,nina mahusiano mazuri&tabia pia. Nafahamu JF tupo watu wa aina mbalimbali pia naelewa umuhimu wa kuna na network nzuri,kwa yeyote atakayeguswa kunisaidia nitashukuru sana. Asanteni sana na Mungu awabariki.
E mail. wvevee@yahoo.com
0688658292

Consider this simple calculation:
If you’re working 8 hours a day, 5 days a week and 50 weeks in 1 year
1 person × 8 hours × 5 days × 50 weeks = 2,000 hours in 1 year
Suppose you’ll be working only a maximum of 40 years all throughout your life (25 years old ~ 65 years old)
2,000 hours × 40 years= 80,000 hours !!
Imagine if you are paid $8 per hour, $10 per hour or $12 per hour respectively.
$8 × 80,000 hours = $ 640,000
$10 × 80,000 hours = $ 800,000
$12 × 80,000 hours = $ 960,000
The figures above could only be your maximum income potential for the next 40 Years !! Now how much do you think your Dream House cost? Your Dream Car? Or Vacation with your family abroad, Or education for your kids.
Even if you get your dreams at this rate, will you be able to enjoy at such an old age 60?

Let’s consider again the simple calculation above, but this time, let us multiply your time to 10 people who will be working for you.
10 People × 8 Hours × 5 Days × 50 Weeks × 4 Years = 80,000 Hours !!
Take a careful look at the computation above. If there are 10 people working under you, you actually accumulate the same 80,000 Hours as when you’re only working alone. The BIG DIFFRENCE is time, you will only do it for 4 years instead of 40 years. You’ve just practically saved 36 years of your life !!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom