Ndugu wana JF napeda kutanguliza shukrani zangu za dhati kwenu kwa jitihada za kusaidiana pamoja na kuelimishana kwenye nyanja tofauti. Mimi nina ombi moja hapa, mimi nimemaliza ARDHI UNIVERSITY...
Kuna rafiki yangu aliitwa kwenye usaili na mara alipomaliza offisi iliona anafaa na hivyo kumwajili, siku ya kwanza tu ya kuriport kazi alipaswa kusema angependa alipwe sh ngapi kama mshahara...
Kama wewe ni msichana (umri chini ya 35), umesomea fani hii, na upo tayari kufanya kazi nje ya nchi, Middle East
Tengeneza CV na passport.
Halafu niiandikie message (usipige simu tafadhali) +255...
Dear jf members!
I'm lookng for job,wether its permanent,temporary or volunteer. Bsc.Usimamizi wanyama pori ndo my career.
Natanguliza shukran zngu za dhati kwa kejeli(jokers)zote...
Usaili uliokuwa umekamilika na leo, na form vi Art ndo wanatangulia monduli kuanza mafunzo na waliobaki watatakiwa kwenda Januari mwakani.
Cha kushangaza usaili ulipokuwa ukikaribia mwisho kuna...
Hivi jamani siku zote naona matangazo ya kazi lakini si kwa sehemu zifuatazo:-
Tanzania Revenue Authority
Tanzania Ports Authority
Kuna nini huku? Watu hawastaafu??
Sory kama mtu anataka kutafuta job nje ya tz let say kenya or uganda au dubai ni vigezo gan hasa natakiwa kuwa navyo mbali na elimu niliyonayo? Tanzania urasimu mwingi nataka nijaribu japo kwa...
nimesikia mara nyingi nchi za nje zinatuma maombi ya wakufunzi wa kiswahili hapa nchini,,mfano gabon,libya,botswana lakini sioni juhudi zozote zile za serikari kutusaidia sisi maexpert wa...
Please find below recently advertised positions.
Note: All applications are to be done online (See below).
Please share widely.
1. Local Finance Initiative Assistant –...
Hello wandugu ninaomba msaada wa kunijuza zilipo sehemu hizi. Ningependa anayejua wapi zilipo hizi BMU's ( Beach Management Units) au watu wengine huziita Landing Site. Sehemu hizi zipo ziwa...
kuna aina tatu za ajira
1. Kutafuta kazi.
2. Kutafutwa na kazi.
3. Kutengeneza kazi.
Sasa chagua wewe mwenyewe.
1. Kutafuta kazi maana yake ''you are not good enough''.
2.kutafutwa na kazi...
Christchurch, Bournemouth -- (SBWIRE) -- 07/12/2012 -- Forever Living, that manufactures and sells dozens of wellness and beauty products, has expanded its services by providing jobs for...
heshima nyingi kwa wakuu wote mliopo humu jamvini, na poleni na majukumu ya kitaifa na kifamilia. Mimi ni kijana wa kitanzania ninayetarajia kuhitimu masomo yangu agosti mwaka huu kutoka taasisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.