Sijui nimenusurika!!!!

Hilo jina ulilotumia kama ni jina lako halisi, nakushauri uliondoe hili swali mapema iwezekanavyo.
 
Ndugu wana JF mimi ni msichana nimemaliza form four mwaka 2005 nikafel vibaya sana nimekaaa kwa mda mrefu nyumbani mwaka jana kuna mtu akanishauri ninunue cheti cha form four kutoka wizarani kwa sh laki 5, nikafanya hivyo nikapata cheti chenye three ya 25 ila ambacho hakina credit nikaomba chuo cha CO yaani clinical officer hapa machame moshi sasa mwezi wa kwanza wakachukua vyeti kwa ajil ya kuvikagua kama ni orginal, vimerudishwa juzi na sijafukuzwa sasa sjui hawajagundua au watakuja kunifukuza baadae mpaka sasa sielewi

Utakuwa unaota sidhani kama unamaanisha unachokisema.Acha mchezo na elimu.Utajuta huko mbele ni heri ujiandae kwa lolote.Halafu unajianika utafikiri unaongea na watoto wadogo
 
sasa kama umecheza nao uko uko hakitakua feki tena na wanapokagua si ndiyo hao hao waliokupa cheti
 
jaman nimefikiria ndo maana nikaandkika sijakurupuka maisha ni popote lazima niandike coz sijaanza mimi ndo nauliza watakuja kunifatilia baadae au ndo imetoka
 
Hilo jina ulilotumia kama ni jina lako halisi, nakushauri uliondoe hili swali mapema iwezekanavyo.

sijatumia langu arafu kaka haya ni maisha jaman yapokua magum tunatafuta maisha kwa njia yoyote ni bora mimi kuliko anaeua kwa ajil ya kutafuta maisha jaman
 
Omba mods wafute hii sredi fasta. Hata kama hujatumia jina lako ujue ndo ushaleta uchuro. Watafuatilia kwa kina wote waliopata nafasi ya kusoma hapo chuoni wakiwa na uhakika kuna mmojawapo ameghushi vyetu. Ntakuja hapo mimi mwenyewe kukagua.
 
siogopi sababu hakuna anaenijua wala hili jina si langu

ndiyo maana ulifeli form 4.Unaambiwa kwamba ulichofanya ni hatari kwako bado unajipa matumaini kwamba hakuna anayekufahamu na jina siyo lako. Subiri sasa yatakapokuta ndiyo utajua kwamba wewe happy lyimo siyo wewe. Pia kumbuka kuwa na taarifa kamili ya hao waliokupatia, kwani wewe tayari uko mkononi mwao na watahitaji kujua hiyo chain. Suala hapa siyo jina lako, wewe si umetumia Computer kutuma hii habari, sasa subiri sasa hata uwe Kigoma utapatikana tu. Pole sana mdogo wangu, vitu vingine ni bora uongee na mtu unayemwamini ili upate ushauri na unaweza kufanya hivyo kama vile wewe siyo muhusika (wewe ni Third Party) na si kuja kubwabwaja hapa. Pole sana, kumbuka kuwa na kumbukumbu ya hao waliokuuzia, kwani nao utalazimika kuwataja, kwasababu wewe tayari.
 
acheni kumtisha mtoto wa watu nani atakayeweza kujua kupitia kompyuta wakati jamiiforum yenyewe inaruka kwa kujificha labda wakisie tu.au hao jamiiforum wangekua serikali wangemdaka bahati mbaya wenyewe nao wanaiogopa serikali kama ukoma.ingekua ivyo sasahivi wangetafutwa wengi wanaoichafua serikali na thread zao zakipuuuzi ,
 
jaman eeeeeeeeeeh mimi ni mtu mzima najua ninacho kifanya
 
kwel kaka wangapi wanatukana mpaka wabunge mbona hawajafatilia????????????
 
natafuta gamba la t.JoSEPH COLLEGE OF ENGINEERING, BACHELOR OF COMPUTER SCIENCE, MY OFFER IS ONE MILLION TZS! SERIOUS!!!
 
jaman eeeeeeeeeeh mimi ni mtu mzima najua ninacho kifanya

Kama unajua unachokifanya kìherehere gani kimekufanya uje uombe ushauri hapa? Kama form four umedunda unategemea hiyo course ya CO utaiweza? Ntashangaa sana. Utanielekeza utakapokuwa unafanya kazi ili nisimlete mgonjwa wangu hapo.
 
sijatumia langu arafu kaka haya ni maisha jaman yapokua magum tunatafuta maisha kwa njia yoyote ni bora mimi kuliko anaeua kwa ajil ya kutafuta maisha jaman
Kama mpaka leo hujui kwamba ni kosa kufoji cheti, bora ungeolewa uwe mother house. kwa sababu huko uliko hata ukimaliza (naamini pia utanunua cheti) utakuja kutuulia ndugu zetu .
 
Back
Top Bottom