Kwa nini hakuna kazi tra na bandari??

bwegebwege

JF-Expert Member
Jul 30, 2010
1,068
183
Hivi jamani siku zote naona matangazo ya kazi lakini si kwa sehemu zifuatazo:-
  1. Tanzania Revenue Authority
  2. Tanzania Ports Authority

Kuna nini huku? Watu hawastaafu??
 
Mimi nilishawahi kupata kazi TRA kupitia matangazo yao lakini sikuweza kufanya nao kazi baada ya kuona barua ya ajira, wana mishahara midogo hawa jamaa ila sijajua watumishi wake wanaojenga magholofa wanapata wapi pesa. Una kuta mtu ana Net pay 1.2M alafu kajenga gholofa sasa kwasisi tusio amini katika mazingaombwe inatuchanganya
 
Tuachw utani ina maana ulipo-apply ulijua wanalipwa kama wabunge ?
 
bandari hii secta imejaaa--wahaya yani full ukabila
tra hii secta ni wachagga na wapare full ukabila...................kama ww sio kabila hutokei makabila haya sahau
kuajiliwa ndo maana unambiwa ni heri tanzania vita itokee tuuwane ili kila mtu apate mkate wa taifa
 
Mimi nilishawahi kupata kazi TRA kupitia matangazo yao lakini sikuweza kufanya nao kazi baada ya kuona barua ya ajira, wana mishahara midogo hawa jamaa ila sijajua watumishi wake wanaojenga magholofa wanapata wapi pesa. Una kuta mtu ana Net pay 1.2M alafu kajenga gholofa sasa kwasisi tusio amini katika mazingaombwe inatuchanganya

Fitina na mbwembwe hizo.
mbali na mishahara katika taasisi nyingi watu wanarun miradi binafsi,so if you think maghorofa yanajengwa kwa salary tu umepotea.
 
bandari hii secta imejaaa--wahaya yani full ukabila
tra hii secta ni wachagga na wapare full ukabila...................kama ww sio kabila hutokei makabila haya sahau
kuajiliwa ndo maana unambiwa ni heri tanzania vita itokee tuuwane ili kila mtu apate mkate wa taifa

Very true!ni full ukabila
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom