natafuta ajira za kufundisha kiswahili nje ya nchi

bigmukolo

JF-Expert Member
Mar 6, 2012
597
2,225
nimesikia mara nyingi nchi za nje zinatuma maombi ya wakufunzi wa kiswahili hapa nchini,,mfano gabon,libya,botswana lakini sioni juhudi zozote zile za serikari kutusaidia sisi maexpert wa kiswahili......naomben msaaada wa mawazo watanzania wenzangu tufanye nini sisi wanakiswahili....nawasilisha
 
Ingia website ya ubalozi wa marekani au uende pale ukaulizie Fullbright fellowships kwa ajili ya waalimu wa kiswahili, ila nadhani umri nao una matter. Hebu jaribu hata ku-google fulbright fellowships for swahili teachers or professors from Tanzania uone utapata nini?
 
ful bright mpaka upitie toka chuo(udsm) hawatak individual aplikeshen, na hapo ud nako ful mizenguo..inshort atafute njia nyngne bt NT FUL BRIGHT SKOLASHP.
 
inbox e mail yako nikizisikia nitakutumia ila nyingi wanapendelea jinsia ya kike na pia minimum qualification huwe na Masters kwa ajili ya kufundisha kwenye vyuo..
 
Mwanangu tafuta mwenyewe kwani kazi ya serikali si kuwatafutia wananchi kazi bali kutengeneza mazingira mazuri ya ajira na ajira zenyewe. Vinginevyo unataka kuwa na New Deal kama aliyowahi kutekeleza FDR au Franklin Delano Rosevelt baada ya vita ya pili ya dunia wakati wa mfadhaiko wa uchumi. Kwa Tanzania sijui kama tuna kiongozi kama huyu kwa sasa.
 
Back
Top Bottom