Kazi nje ya Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kazi nje ya Tanzania

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by pettymarcel, Jul 10, 2012.

 1. pettymarcel

  pettymarcel JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 1,401
  Likes Received: 603
  Trophy Points: 280
  Sory kama mtu anataka kutafuta job nje ya tz let say kenya or uganda au dubai ni vigezo gan hasa natakiwa kuwa navyo mbali na elimu niliyonayo? Tanzania urasimu mwingi nataka nijaribu japo kwa majiran zetu thanx
   
 2. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,788
  Likes Received: 6,301
  Trophy Points: 280
  1) At least uwe na degree ya kwanza

  2) Kama unaomba kwenye NGO, lazima uwe na experience ya kufanya kazi kwenye NGO kwa muda usiopungua miaka mitatu

  3) Pia inategemea fani yako. Kuna waTZ kibao wanafanya kazi nje kwenye migodi (DR Congo, Mauritania etc) ingawa hawana degree - uzoefu kwenye kazi tu.
   
 3. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Jifunze kuandika kichwa cha habari kulingana na kile unachotaka kueleza hiyo pia itakusaidia kupata kazi popote unapotaka.
   
 4. Ikumbilo

  Ikumbilo JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2012
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 455
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mara nyingi uzoefu au ujuzi wa kitu fulani huwa kinakufanya uweze kupata kazi. Hii inategemeana na jinsi unavyojinadi kwa wale waliozitangaza hizo nafasi za kazi.

  Pia jitahidi kuapply maana huwezi kukaa tu bila kuapply.
   
 5. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #5
  Jul 14, 2012
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Communication skills, and ability to deliver!
   
 6. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,688
  Likes Received: 650
  Trophy Points: 280
  Cha muhimu zaidi ni kwenda huko nje, halafu ukaombe kazi.
   
 7. stineriga

  stineriga JF-Expert Member

  #7
  Jul 14, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,033
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  not easy, umeshidnwa kupata kazi bongo ndio upate nje ya nchi?! i love bongo!
   
Loading...