"kazi ni nzuri kuliko mshahara" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"kazi ni nzuri kuliko mshahara"

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mbugi, Jul 14, 2012.

 1. Mbugi

  Mbugi JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,488
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  Kuna rafiki yangu aliitwa kwenye usaili na mara alipomaliza offisi iliona anafaa na hivyo kumwajili, siku ya kwanza tu ya kuriport kazi alipaswa kusema angependa alipwe sh ngapi kama mshahara wake. aliishia kusema anachojua yeye kapata kazi na kuwa haoni kipi kinazidi kazi na kuwataka mgt waamue wao watamlipa bei gani.

  kweli "KAZI NZURI KULIKO MSHAHARA"
   
 2. S

  Swae24 Member

  #2
  Jul 14, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siku iz hiyo imepitwa na wakati!
   
 3. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Asije badae akaanza kulia lia kwamba yeye analipwa kidogo anaonewa wenzake wanalipwa vizuri. Maana mimi kama muajiri akija House girl akisema nimlipe chochote nampa 2000 kwa mwezi.
   
 4. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Ukisota sana mtaani lazima uje na jibu kama hilo kivyovyote...baada ya miezi ya probation nadhani akili itamkaa sawa.
   
 5. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Mkuu Sizinga hii ilishawahi kunikuta ndugu yangu.....kwani hata muda wa Probation uliisha basi? nilipogundua tu wenzangu wanalipwa kiasi gani.....niliumia sana na kujilaumu kwa nini nilisema nilipwe chochote......hii ilikuwa ni baada ya kusota mtaani bila kazi kwa muda mrefu...nilikuwa mpole, Alipokuja HR mpya ndio mambo yalibadilika baada ya kupia file langu!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...