Kada tofauti zajiunga na USAILI WA JESHI KIMYA KIMYA. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kada tofauti zajiunga na USAILI WA JESHI KIMYA KIMYA.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by zubedayo_mchuzi, Jul 14, 2012.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Usaili uliokuwa umekamilika na leo, na form vi Art ndo wanatangulia monduli kuanza mafunzo na waliobaki watatakiwa kwenda Januari mwakani.

  Cha kushangaza usaili ulipokuwa ukikaribia mwisho kuna Madaktar na kada tofauti wapatao 25 waliongezwa kutoka uraiani bila Wanajeshi hao wanaosailiwa bila kujua wametoka wapi,Pia na Wanawake 30 waliongezwa kuungana na wenzao kwenda mafunzo wote hao wametoka URAIANI ambako nafasi hzo hazikutangazwa.
  Swali kwa Walinzi wa Ulinzi; Je hao watu 55 mliowaongeza hapo mmewapata wapi?
  Wapo vijana wengi wanasubiri Nafasi hizo lakini teali mmesha zijaza kwa mlango wa nyuma...? Jeshi nalo limekuwa la vigogo na watoto wa wakubwa kwa nafasi kubwa?

  Source;mmoja wa wasailiwa wa nafasi hizo.

  Kiambatanisho.
  Kujiunga JWTZ.

  Uandikishaji
  Askari Mtu yeyote ataandikishwa
  kujiunga na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa sifa zifuatazo: - >Awe raia wa Tanzania
  >Awe na Elimu ya kidato cha nne na kuendelea na aweamefaulu..
  >Awe hajaoa/hajaolewa >Awe na umri kuanzia miaka 18 hadi 25
  > Awe na tabia na mwenendo mzuri
  >Awe na akili timamu na afya nzuri Masharti ya Utumishi Askari atapewa nambari ya utumishi baada ya kufaulu mafunzo ya awali.
  Atalitumikia Jeshi kwa kipindi cha mwanzo cha miaka sita, baada ya hapo atafanya kazi kwa mkataba wa miaka miwili miwili kwa kibali cha Mkuu wa Majeshi.
  Maafisa Bodi ya Uteuzi wa Maafisa (Officers Selection Board)
  huwafanyia usaili askari
  wenye elimu ya kidato cha
  sita na kuendelea toka
  Vikosini na Shule za askari
  wapya (Recruitment Schools). Watakaofaulu masailiano hayo hupewa hadhi ya Afisa
  Mwanafunzi (Officer Cadet), na hupelekwa Chuoni (Tanzania Military Academy) kwa mafunzo ya uafisa kwa muda wa mwaka mmoja.
  Hichi vijana wengi hukisubiria...
   
 2. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,633
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  Umeanza kutoa siri za geji letu tukufu wewe?
   
 3. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Jeshi ni la wananchi wote watu 55 wengi sana kuwaptisha kimya kimya
   
 4. Pinokyo Jujuman

  Pinokyo Jujuman JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo mnyetishaji nadhani ni mgeni ktk majukumu hayo, kwa nafasi hizi za kazi popote pale vigogo vinawapenyeza sana ndugu zao na kama haitoshi hata Askari wenyewe hupiga sana dili kwa kuwapitisha watu na kupewa chochote kitu, bila shaka mnyetishaji alipigwa panga au mtu wake katoswa kaamua kuvujisha LIWALO na LIWE"
   
 5. D

  DOMA JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Bora hata hao watakwenda mafunzo wengine hawapiti huko
   
 6. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Umekosea aisee,jamaa hajapgwa panga na januari Anapanda MONDULI KAMA KAWAIDA ILA JUA WATU WAMECHOKA NA MAMBO HAYO.
   
 7. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #7
  Jul 14, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,655
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Kama huna mkubwa wa kukutetea TZ, utabaki unalalama tu.
   
 8. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #8
  Jul 14, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,285
  Likes Received: 3,017
  Trophy Points: 280
  Hakujafanyika usaili ndugu yangu..na ni kweli kuwa majina hayo mengi yamekuwa kimjuano..walichoambiwa ni kuwa wafike kwenye makambi yaliyotengwa ambalo moja liko Dodoma na lingine liko Kigoma..tarehe 15 julai ndio mwisho wa kuripoti kambini..
   
 9. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #9
  Jul 14, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Usaili upi unausemea wewe,huu ni mwezi wa pili sasa umepita tokea usaili wa ndani uanze na umeisha leo kwa waliopita kujiunga na TMA kwa awamu tofauti tofauti,wataanza hao form six Art then wanaobaki pamoja na hao waliƶngezwa wataenda Januari
   
 10. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #10
  Jul 14, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,285
  Likes Received: 3,017
  Trophy Points: 280
  Ndugu yangu si tunazungumzia Raia sio askari waliokuwa kazini. Raia walioongezwa hawajafanya usaili na kwa taarifa ni kuwa wanaenda kuanza JKT kwanza.
  Source:Mtendaji wa Mkulu pale Mlalakuwa.

   
 11. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #11
  Jul 14, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Kwanini waingie kupitia usaili wa ndani na si wa nje,na wamewatoa wapi..au ndo utaratibu mpya.
   
 12. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #12
  Jul 15, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,329
  Likes Received: 2,981
  Trophy Points: 280
  Kwa KIGOMA wilayani KASULU ile kambi ya wakimbizi ambayo soon itafungwa ndiyo JKT inakabidhiwa majengo na kila kitu. Rasmi ndy kinakuwa kikosi cha jeshi,unajua hii imetumika KIBONDO ktk kambi ya wakimbizi KANEMBWA walipopewa jkt basi wakimbizi walishindwa kurudi pale maana wangepata kichapo.
   
 13. Litvinienko

  Litvinienko JF-Expert Member

  #13
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ina wenyewe
   
 14. fabinyo

  fabinyo JF-Expert Member

  #14
  Jul 15, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 2,084
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  hakiyanani,siku hizi watu wanakimbilia kufanya kazi jeshini?lol
   
 15. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #15
  Jul 15, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  jeshi ndo mkimbilio
   
Loading...