Kama field ndo hivi ajira je?

Swae24

Member
Mar 23, 2012
45
1
Jamani inakuwaje unapoomba kufanya field sehemu,unakuta wahusika na sababu nyingi na wengine wanasema hawana nafasi kabisa,wanachokiogopa ni kipi?
 
hapo hujaenda halmashauri ukakutane na ma bimkubwa ,ukifika huko ndo utajua raha ya kuwa na hawa watu makazini.pole ila kaza moyo,field kuna mengi ndg yangu,unaweza wewe binafs ucpate hata ya nauli ila wenzio wanalipwa..dunia mapito.
 
Inategemea na Chuo ulichotoka....kama kina sifa ya kutoa watu wazuri kupata field ni rahisi sana..ila kama ni hivi vyuo vya kata nani anataka shida??
 
Mi nahisi wenye ofisi wengi hawana uelewa kuhusu field wanahisi maybe unataka kazi!
 
Mimi pia nimehangaika sana kumtafuta field ya mtoto wangu, nikajiuliza kupata kazi itakuwaje
 
Ni kweli ofisi nyingi siku hizi zimekuwa hazipokei watu wa field iwe serikalini ama hata binafsi ni ngumu mno....huu utamaduni unapaswa kubadilishwa hata kwa kutumia sheria kabla haujageuka gonjwa sugu. Hivi hawa waajiri wanafikiri watawapata wapi wafanyakazi wa miaka ya baadae iwapo hawatoi field kwa vijana wetu.
 
hapana wadau,kitu kinacho fanya field kuwa ngumu ,nikwamba wanafunzi wamekuwa wengi sana na ofisi nyingi hazina uwezo wakuwahifadhi,lakini wanafunzi nao wanakuwa wasumbufu ndo maana wengine wanakataliwa ,
lakini wasikate tamaa kazi zipo na watafanikiwa
 
Jamani inakuwaje unapoomba kufanya field sehemu,unakuta wahusika na sababu nyingi na wengine wanasema hawana nafasi kabisa,wanachokiogopa ni kipi?

Wanataka uwalambe miguu kwanza...
 
Si kweli kuwa wanafunzi wa field hawapokelewi, tatizo ni kuwa vyuo vimeongezeka sana kuliko ongezeko la waajiri. Utakuta mwajiri (kama wangu) anachukua takriban wanafunzi 120 kwa awamu tatu 940 kwa mkupuo), lakini applications zilikuja kama 500, japo anawaonea huruma lakini nafasi hana sasa wote hao atawaweka wapi? Zamani mashirika ya Umma 400+ yalikuwa yanasaidia, siku hizi hayapo ndo taabu yake hii sasa!
 
wewe nawe unatoa mfano wa huyo mwajir wako mmoja , inshort wenye roho ka za mwajir wako ni wachache hvyo usi generalise..ofis nying hazitoi mfano wizara ya habar mi nliendaga wakaninyima na wala hawakuwepo wa2 wa field, bt sikukata tamaa nkamfata mkurugenz cz he was also my lecturer udsm ndo kupata t was 2009/2010.
 
tatizo la wanafunzi wanavujisha sana siri za ofisi ili upate field inabidi ufaamike vizuri ama sivyo utakuja kushinda na kurudi nyumbani huwezpata fanyia kaz confidential information, hawataki kukutana na siri zao kwenye magazeti
 
  • Thanks
Reactions: Edo
na hii kasi ya upinzan wa chadema kuiwajibisha serikali hali itakuwa ngumu sana kwan hata hapa ofisin kwangu kila fieldstudent liyekuja ameletwa na mtu reputable kumrecomend barua ya chuo ni kitu cha ziada tu.
 
Inategemea na Chuo ulichotoka....kama kina sifa ya kutoa watu wazuri kupata field ni rahisi sana..ila kama ni hivi vyuo vya kata nani anataka shida??

mention them mdau,tuvijue kabisaaa,,,,,,ikiwezekana na benki za kata pia
 
wewe nawe unatoa mfano wa huyo mwajir wako mmoja , inshort wenye roho ka za mwajir wako ni wachache hvyo usi generalise..ofis nying hazitoi mfano wizara ya habar mi nliendaga wakaninyima na wala hawakuwepo wa2 wa field, bt sikukata tamaa nkamfata mkurugenz cz he was also my lecturer udsm ndo kupata t was 2009/2010.
Sawa unasema mimi na -generalise mbona na wewe unarudia kosa langu? yaani kwenda kwa huyo mwajiri mmoja ndio unasema wote? anyway, hiyo ndio hali halisi.
 
pole sana,kupata field nako hadi kujuana
 
Sawa unasema mimi na -generalise mbona na wewe unarudia kosa langu? yaani kwenda kwa huyo mwajiri mmoja ndio unasema wote? anyway, hiyo ndio hali halisi.

mimi sizungumzii mwajir mmoja bt hali halisi kwa waajiri wengi hapa tanzania, inshort ni tatizo e.g m2 aseme malaria ni tatizo sugu na linalo ua kwa kasi tz, alafu wewe uje kusema hapana mbona kwe2 watu hawafi kwa malaria..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom