Aina tatu za ajira. Chagua ajira unayo itaka.

MZIMU

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
4,057
1,371
kuna aina tatu za ajira

1. Kutafuta kazi.
2. Kutafutwa na kazi.
3. Kutengeneza kazi.

Sasa chagua wewe mwenyewe.

1. Kutafuta kazi maana yake ''you are not good enough''.
2.kutafutwa na kazi maana yake ''you have what it takes''.
3.kutengeneza kazi maanake ''you are good enough''.

S T O P C O M P L A I N I N G.
 
Mhhhhhhh! Kuna vitu vingine mtu unavijua lakini vikiongelewa na wengine ndo unapogundua kumbe hujui hata ktk hayo unayodhani unayajua. This is a very good 'ffod for thought' aisee!
 
kuna aina tatu za ajira

1. Kutafuta kazi.
2. Kutafutwa na kazi.
3. Kutengeneza kazi.

sasa chagua wewe mwenyewe.

1. Kutafuta kazi maana yake ''you are not good enough''.
2.kutafutwa na kazi maana yake ''you have what it takes''.
3.kutengeneza kazi maanake ''you are good enough''.

s t o p c o m p l a i n i n g.

nimekubali mawazo yamesimama
 
Nakusalimu kaka mkubwa!!
mhhhhhhh! Kuna vitu vingine mtu unavijua lakini vikiongelewa na wengine ndo unapogundua kumbe hujui hata ktk hayo unayodhani unayajua. This is a very good 'ffod for thought' aisee!
 
kuna aina tatu za ajira

1. Kutafuta kazi.
2. Kutafutwa na kazi.
3. Kutengeneza kazi.

Sasa chagua wewe mwenyewe.

1. Kutafuta kazi maana yake ''you are not good enough''.
2.kutafutwa na kazi maana yake ''you have what it takes''.
3.kutengeneza kazi maanake ''you are good enough''.

S T O P C O M P L A I N I N G.

I guess kwa hapa Tz, we got only option No 1.
 
Mimi nilitafuta kazi(baada ya ku-graduate), nikatafutwa na kazi (after acquiring experience/skills ) , nikatengeneza kazi (baada ya kupata capital). Kwa hapo mkuu mimi niko kwenye category ipi kati ya hizo?
 
Mkuu hapo nimekukubali sana , thanx
 
Mimi nilitafuta kazi(baada ya ku-graduate), nikatafutwa na kazi (after acquiring experience/skills ) , nikatengeneza kazi (baada ya kupata capital). Kwa hapo mkuu mimi niko kwenye category ipi kati ya hizo?

MKUU HAPO UPO CATEGORY YA TATU. YOU ARE A GOLDEN BOY. YOU ARE CREATING JOBS FOR OTHERS. THAT MEANS YOU ARE ONE OF THE GENIUSES.
LIKE BILL GATES, MARK ELLIOT ZUCKERBERG, etc.
 
Mhhhhhhh! Kuna vitu vingine mtu unavijua lakini vikiongelewa na wengine ndo unapogundua kumbe hujui hata ktk hayo unayodhani unayajua. This is a very good 'ffod for thought' aisee!

Sijui nimelewa!? "ffod for thought"!!'
 
hii ni kweli lakini kwa hapa nyumban ipo kazi

Hakika kazi ipo, hasa ukizingatia idadi ya wanafunzi wenye mawazo ya kutafuta kazi kutoka vyuoni inaongezeka kila mwaka kutoka vyou mbali mbali, ukilinganisha na idadi za aina ya kazi wanazo zitafuta.

Halafu nadhani mfumo wetu wa elimu ya kudesa, sijui kama ndio mfumo utakao leta ufumbuzi wa ajira. Watawaona mazingira ya vyuo ni ya kuhangaikia GPA, badala ya maarifa ya kitaalamu. Sio ajabu kukuta mwanachuo mwenye first class na vyeti vyake kutafuta ajira, au kushindwa kwenye intervew na mtu mwenye pass. Sasa unajiuliza, hawa walikua wanasoma vipi.

Kama umesoma vyuo vya tanzania nadhani unakumbuka watu wanavyokua results focused na sio knowledge focused.
Kwa bahati watu wanamno hiyo wakipata nafasi, ziwe za kitaalamu au desicion making, ni commedy mwanzo mwisho. Ndio maana watoto wa kichina, kijapani na wazungu wanaendelea kua ma expert (Bara bara, nk.) mkapa leo 40 years after independence.

wizi mtupu.
 
Constructive & vry Challenging Idea!Bt pia mi nadhan hvo huweza ktokea kwa % kubwa as in a process, vp kwny series ya wakat!UNATAFUTA, UKPATA UNATAFUTWA ZEN BADAE UNAWAJENGEA NAFASI WENGNE" especialy hyo ni graph 2 most LDCs"
 
Hiyo ni sawa, kama watu wangekua na spirit hiyo. Lakini wengi wao hubweteka na kuishia option ya KWANZA.
 
kuna aina tatu za ajira

1. Kutafuta kazi.
2. Kutafutwa na kazi.
3. Kutengeneza kazi.

sasa chagua wewe mwenyewe.

1. Kutafuta kazi maana yake ''you are not good enough''.
2.kutafutwa na kazi maana yake ''you have what it takes''.
3.kutengeneza kazi maanake ''you are good enough''.

s t o p c o m p l a i n i n g.

the only shortcoming of many people is that they never know well their-selves.......and this trigger the inferiority of being as you......and hence what you know you can't prove it once needed..........to overcome life is not only through employment, but how you can explore the nature to succeed in life............our country is full of nature; let us play our part.
 
Mimi nilitafuta kazi(baada ya ku-graduate), nikatafutwa na kazi (after acquiring experience/skills ) , nikatengeneza kazi (baada ya kupata capital). Kwa hapo mkuu mimi niko kwenye category ipi kati ya hizo?

wewe umefit vigezo vyote hongera
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom