Manung'uniko kazi sensa

miss strong

JF-Expert Member
Jul 4, 2012
7,012
3,694
Kumekuwa na manung'uniko ktk kata yetu ya ndugumbi magomeni juu ya uchaguaji wa makarani wa sensa,Mtendaj wa kata kaweka watu wake na pia watendaji wa ccm!Nchi inakwenda wp?Na baadh ya waliopata hawana sifa nakujitapa mtaani kuwa degree zetu hazijasaidia.
 
Poleni sana..sie huku kwetu mtendaji kata kasema atabandika kesho..na nimeskia waloapply ni kama elfu saba,kati ya hao walopata ni mia nne..na walimu wamepewa kipaumbele so kati ya hao mia nne,mia tatu ni walimu..sasa tatizo lipo kwny hao mia wanaobakia.mtoto wa Nani na nni watapata,ndo tunasubiri tuone!
 
Tunashukuru Mungu kwa yote ila kuonekana sisi hatuna maana ktk jamii kwa kushindanishwa na darasa la saba waliofeli na kutushinda kisa wana kadi za ccm,Hii ni hatar kbs katika nchi yetu!
 
ukiona hivyo mageuzi yanahitajika haraka iwezekanavyo,tuache kulalamika subili muda ukifika fanya mamuzi sahihi
 
Nendeni mkatoe taarifa kwa mkurugenzi wa Kinondoni atawasaidia yeye hana chama.
 
Poleni sana..sie huku kwetu mtendaji kata kasema atabandika kesho..na nimeskia waloapply ni kama elfu saba,kati ya hao walopata ni mia nne..na walimu wamepewa kipaumbele so kati ya hao mia nne,mia tatu ni walimu..sasa tatizo lipo kwny hao mia wanaobakia.mtoto wa Nani na nni watapata,ndo tunasubiri tuone!

kwenu wap sasa?
 
huku kijichi ni janga bora sensa ipotezewe hakuna cha maana kitakachofanyika. Nasema kwetu asionekane mtu nitafungulia mbwa.
 
huku kijichi ni janga bora sensa ipotezewe hakuna cha maana kitakachofanyika. Nasema kwetu asionekane mtu nitafungulia mbwa.
vipi jamani kwani kijichi tayari wameshabandika majina maana hadi jana jioni ilikuwa bado
 
da iringa manispaa ndo usiseme sijui wameeangalia vigezo gani mana hali inatisha na ilikuwa hamna haja ya kugawa fomu bora wangespecify tu watu wanaohitajika kuliko kuingia garama za pasport
 
vipi jamani kwani kijichi tayari wameshabandika majina maana hadi jana jioni ilikuwa bado

nimetoka huko mchana huu hakuna kitu ,ila kuna watu waitwa kwa wajumbe wa serikali za mitaa ili watozwe chochote . Likikamilika hilo watabadika.
 
Back
Top Bottom