kwa walioomba kazi ya muda ya sensa

bigmukolo

JF-Expert Member
Mar 6, 2012
597
2,225
nataka kuuliza je majibu yanatoka lini kwa walioomba kazi ya ukarani coz kazi rasmi inaanza tarehe sita...nawasilisha
 
Itakuwa vema kama utaenda kuulizia kwa mtendaji wa mtaa wako, ulikofanyia application ndio watakao kuwa na validy information
 
Niliuliza halmashaur ya hai,wakanambia tare 30/july ndio watabandika majina kwenye ofisi za watendaji wa kata,sasa sijui kama ni kweli.
 
Malipo yatakuwa kiasi gani kwa siku na ni siku ngapi?Jamani bei ya kitaifa iwekwe hapa jukwaani ili tuijue.Najua watachakachua mpaka basi.Watakaoleta ufisadi wa malipo naomba tuwaweke hapa jamvini kwa majina na mahali walipo!
 
ofcourse inatakiwa kesho tar30july ndo majina yabandikwe kwenye ofisi za watendaji wa kata.ilitakiwa majina yafike ofisi za kata leo lkn nimetoka ofisi ya mtendaji mda sio hayajafika labda kesho asubuhi mchana,kufikia jioni yatakuwa yamebandikwa.hope umeelewa
 
Malipo yatakuwa kiasi gani kwa siku na ni siku ngapi?Jamani bei ya kitaifa iwekwe hapa jukwaani ili tuijue.Najua watachakachua mpaka basi.Watakaoleta ufisadi wa malipo naomba tuwaweke hapa jamvini kwa majina na mahali walipo!
nasikia ni elfu sistini kwa siku zote tano (j3 mpaka ijumaa) mkuu
 
Itakuwa vema kama utaenda kuulizia kwa mtendaji wa mtaa wako, ulikofanyia application ndio watakao kuwa na validy information
Mkuu kwani unadhani watendaji wa kata sio member wa jamvi? Kupunguza gharama na muda hapa ndo penyewe. Hii ni kwa faida ya wengi pia
 
Nilipoenda kusubmit form kata , jamaa alinambia by monday 30th thngs wil b o.k.(display ov lucky ones).
 
Malipo yatakuwa kiasi gani kwa siku na ni siku ngapi?Jamani bei ya kitaifa iwekwe hapa jukwaani ili tuijue.Najua watachakachua mpaka basi.Watakaoleta ufisadi wa malipo naomba tuwaweke hapa jamvini kwa majina na mahali walipo!

kumi na tano kwa siku, so zidisha mara siku 7
 
Kutoa majina ya waliopata nafasi za sensa itakuwa ni ijumaa trh 3/8 kwenye ofisi za kata
 
Back
Top Bottom