Natafuta kazi in field of Electronics & Telecommunication Engineering | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta kazi in field of Electronics & Telecommunication Engineering

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by mr green, Jul 31, 2012.

 1. m

  mr green Member

  #1
  Jul 31, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 25
  Habri wana JF.
  Ndugu zangu nina diploma ya Eletronics & Telecommunication Engineering. Nina uzoefu katika installation,maintenance and commissioning of RF and Microwave link katika minara ya simu,pia uzoefu katika installation of security system ie cctv, intercom (PBAX).nk
  Waheshimiwa nomba msaada wenu.
   
 2. Root

  Root JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,319
  Likes Received: 13,024
  Trophy Points: 280
  wahusika wanakuja.
  kwanini usiendelee ili upate degree
   
 3. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #3
  Jul 31, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Kwani wewe mpk sasa hivi umeshachukua hatua gani? Telecom na Electronics KAZI zipo nje nje achilia mbali Field Attachment.....kama unashinda Cafe au home kusubia nafasi ikufuate utasubiri sana!!
   
 4. l

  london JF-Expert Member

  #4
  Jul 31, 2012
  Joined: Sep 12, 2010
  Messages: 223
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naomba tubadilishane tu mawazo japo sina uwezo wa kukupatia fieldwork km ni sawa kwako. Niandikie email: etambala@yahoo.co.uk
   
 5. Aqua

  Aqua JF-Expert Member

  #5
  Jul 31, 2012
  Joined: Jul 23, 2012
  Messages: 1,299
  Likes Received: 418
  Trophy Points: 180
  Kwa elimu hiyo check kampuni zote za simu,voda,tigo ,airtel,zantel,na zingine.Pia check kampuni hizi Maktech,Linksoft,ila kama pesa ipo soma Cisco(CCNA) itakuongezea ubora sokoni.Usisahau kutembelea zoom,na kujisajili www.brightermonday.com.Pia wasiliana na jamaa zako wa chuo wakupe michongo usikae peke yako utakufa,mambo tight.
   
 6. m

  mr green Member

  #6
  Jul 31, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 25
  sawa nipo tayari kwa mawazo mapya
   
 7. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #7
  Aug 1, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Fanyia kazi alichosema Aqua utatoka......
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. C

  Chinga boy JF-Expert Member

  #8
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Makampuni yote ya Cm technical wameoutsource niko Northern Eng. Tuwasaliane cos anafanya tel. Zant.na Airtel 0719744806
   
 9. e

  emanuel servi Member

  #9
  Aug 1, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu Natafuta kazi ya Ufundi computer ya Pc- Maintanence'
   
 10. m

  mr green Member

  #10
  Aug 2, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 25
  .


  kwa yeyote mwenye mawazo tuwasiliane katika email hii 0716277818jm@gmail.com
   
Loading...