msaada wakuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada wakuu

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Bandabichi, Aug 1, 2012.

 1. Bandabichi

  Bandabichi JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2012
  Joined: Jun 3, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari wakuu wote.
  Ukisikiliza Clouds Fm wanatangaza kuwa secretarieti ya ajira na wizara ya fedha wametoa nafasi za kazi lakini ukitazama website www.ajira.go.tz iko suspended na Public Service Management hili tangazo hAlimo.
  Wakuu tusaidiane katika hili.
   
 2. maria pia

  maria pia JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 516
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  nilifikiri peke yangu,na mi pia cjaelewa cjui inakuaje.....msaada
   
Loading...