Natafuta kazi ya fundi sanifu wa maabara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta kazi ya fundi sanifu wa maabara

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mlonda, Aug 1, 2012.

 1. M

  Mlonda Member

  #1
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Natafuta kazi ya fundi sanifu msaidizi wa maabara, kwa sasa nipo bila kazi baada ya kumaliza mkataba wangu na project ya kimarekani iliyokuwainajishughulisha na utafiti wa malaria.
  Nina experience kubwa katika kazi hiyo hasa upande wa malaria sababu nilifanya kazi ya utafiti wa malaria zaidi ya miaka 5.
  Ni mchapakazi mzuri.
  Atakaye nihitaji tuwasiliane kwa njia ya sms kupitia namba ya 0786135070 au e.mail address "frankgodlisten@yahoo.com".
  Naishi Dar maeneo ya Mbezi beach.
   
 2. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2012
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Tembelea hapa huwa wanatoa kaz za lab tech.

  Tanzania Jobs | Jobs in Tanzania | Tanzania Employment
   
Loading...