wanojua kuhusu hili tujuze tafadhali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wanojua kuhusu hili tujuze tafadhali

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by tunyi, Aug 1, 2012.

 1. t

  tunyi Member

  #1
  Aug 1, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mtu akiwa na degrii 2, nafasi zikatoka serikalini zenye sifa zake ila wanahitaji mwenye degrii moja. huyo mtu akaamua kuomba hiyo nafasi kwa kutumia digrii ya kwanza akafanikiwa kupata hiyo nafasi:
  1)je anaporipoti kazini anapokuwa anajaza personal particulars na academic background aambatanishe cheti chake cha digrii ya pili? na kama aambatanishe cheti chake cha digrii ya pili,mshahara utakua TGSD?
  2)kama hata include cheti chake cha digrii ya pili afwate procedure zipi na baada ya mda gani aweke cheti chake cha digrii ya pili?
  Naomba kuwasilisha wana jf.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Ukizaliwa town basi degree tosha!!!
   
 3. NusuMutu

  NusuMutu JF-Expert Member

  #3
  Aug 1, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 423
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  King kong III naona umejibu kama msela nondo !
   
 4. CHIEF MP

  CHIEF MP JF-Expert Member

  #4
  Aug 1, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 1,570
  Likes Received: 344
  Trophy Points: 180
  Atalipwa kadri kazi ilvotangazwa n mahtaj yke, c vngnevo!
   
Loading...