Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Tunahitaj. vijana wanao veza ku sambaza viperushi. AU Kama kampuni wanayo fanya kazi hii. Plz message me ! KAZI YA Kusambaza Viperushi (Distribution of Brochures/Fliers)
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna watu kazi wamepigiwa simu na gep kupewa taarifa ya kuitwa kwenye interview
0 Reactions
4 Replies
2K Views
MATOKEO YA WALIOFAULU USAHILI UHAMIJI YAMETOKA. YANAPATIKANA GAZETI LA MWANNCHI LA 7/09/2012. AU KWENYE TOVUTI YAO www.immigration.go.tz
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Naombeni tujuzane kwa hilo hapo juu
1 Reactions
44 Replies
13K Views
Habari zenu wana JF, natumaini muu wazima wa afya! Ndugu zangun mm ni muhanga wa ajira, ninawaombeni kwa yeyote humu anaefahamu sehemu yenye ajira za Mining Engineering naombeni anijulishe. Nina...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
jamni naomba mnijuze nasikia kuna ajira zimetoka za maafisa takwimu,vifaa,,ni kweli plz anayejua anisaidie
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Naomba kujua hawa jamaa wanalipaje kwa Bachelor holder pamoja na marupurupu mengine, pia kama una information zao zaidi unaweza nipa. Naomba kuwasilisha.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
wana JF naomba kuwasilisha, kama hamjui the best paying government institution may be after TRA ni LAPF (local authorities pension fund) mana hata ukiwa ni mfanyakzi wa kawaida mshahara ni mnono...
1 Reactions
47 Replies
9K Views
Hello wadau, Pitieni kazi hii, na wale wenye sifa muapply. Kazi ni kwenu sasa. CAREER OPPORTUNITY: Maintenance Supervisor Kabanga Nickel Co. Limited is a Tanzanian-based company managing the...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
wadau et mshahara zantel kwa post ya cashier na asistant accountant ni sh ngap? Anayefahamu plz,
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Katika search yangu nikakutana na website fulani, basi nikajionea mwenyewe kumbe inaezekana lakini ni baada ya mda kweli wa kutafuta... Jaribu na wewe... click the link ujionee. IncomePart.com...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hawa polisi wa Tanzania wamezaliwa na akina nan?maana mmmh!kama vile hawajatoka tumbon mwa mama zao vile naumiza kichwa sipati majibu jaman :yawn:
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Vacancy- Re-advertised An interesting vacancy for accountant with Strong Sales and Marketing background is available at an IT firm specializes in marketing, sales and marketing of the custom...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Regional CEO at South Africa --- Qualtap Share this job: Position Name...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba msaada wa no. Za simu za waziri au naibu wake/katibu mkuu wizara ya utumishi wa umma niwasiliane nae/nao.anaezifaham ani-pm please....
0 Reactions
7 Replies
2K Views
anyone who needs programmer,web developer and database administration contact with me through 0757830428 or saidi.bakari@rocketmail.com....
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakubwa naombeni msaada wenu mi nna degree na nna experience ya miaka miwili kama loan officer,naomba mwenye kuweza kunisaidia jinsi ya kupata kazi. shukrani.
1 Reactions
11 Replies
2K Views
The aim of the applied research project is to explore how social protection systems are and should be designed to guarantee the inclusion of persons with disabilities. The project will consist of...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
AJIRA KAMPUNI ZA NJE NCHINI TANZANIA USIKOSE ReferralTask.com Earn Money by inviting - 1$ per referral link visit
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naimani nyote mu bukheri wa afya,bila kupoteza muda mi naomba mnishauri nina diploma ya International relations and diplomacy kutoka pale chuo cha diplomasia kurasini.Then nimemaliza mwaka huu...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom