DG WA LAPF ANACHUKUA 10 MILL( Best paying GVT institution) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

DG WA LAPF ANACHUKUA 10 MILL( Best paying GVT institution)

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by MAUBIG, Apr 26, 2012.

 1. MAUBIG

  MAUBIG JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 972
  Likes Received: 536
  Trophy Points: 180
  wana JF naomba kuwasilisha, kama hamjui the best paying government institution may be after TRA ni LAPF (local authorities pension fund) mana hata ukiwa ni mfanyakzi wa kawaida mshahara ni mnono.

  DG= DIRECTOR GENERAL
   
 2. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Binadamu tuna matatizo!!!! Lipi jema lakini??? Serikali ikilipa mshahara mdogo tunaponda!!! Ooh!! serikali inalipa kiduchu!!!
  Serkali ikilipa mshahara mnono ooh!! inalipa mshahara mkubwa!!! Sa unataka ifanyaje????
   
 3. King2

  King2 JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mawaziri Wabunge je?? Habari za maige haujasikia nini.
   
 4. Edoedward1

  Edoedward1 JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 799
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 60
  Sina hakika kama mdau kalalamika hapo!!!Nahisi kawasilisha tu....:smile::smile:[​IMG]:smile:
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Mbona ni mshahara mdogo sana huo?
   
 6. Visenti

  Visenti JF-Expert Member

  #6
  Apr 27, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 1,031
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 133
  USD 6200 pm, kwa cheo hicho, huo mshahara ni wa kawaida sana!
   
 7. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #7
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Huo ni cha mtoto, Governor wa Banki kuu yaweza kuwa mara mbili yaa huo!
   
 8. s

  sawabho JF-Expert Member

  #8
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 948
  Trophy Points: 280
  Ungependa alipwe kiasi gani ? Toa ushauri wako.
   
 9. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #9
  Apr 27, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 503
  Trophy Points: 280
  Wewe umedata ! mbona KAMSHAHARA MBUZI SANA HAKO,! watu wanachukuwa Mpaka 20m,
   
 10. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #10
  Apr 27, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  wakina nani?
   
 11. Y2k

  Y2k Member

  #11
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kaka inaelekea ukonyuma katika kufaham ivi unajua kama General Manager mgodi wa buzwagi analipwa mil70 kwa mwez na apo bado ajapata posho

  :target:
   
 12. Chenge

  Chenge JF-Expert Member

  #12
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 1,077
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Mbona hata mimi namzidi huo mshahara na wala sina cheo kikubwa kama hicho? Hata hivyo nataka nihame kwa kuwa nimepata offer kubwa zaidi.Inaelekea hii bongo kuna watu wanawasindikiza wenzao kazini..... na kwa nini msitafute qualifications mkapata mishahara minono?
   
 13. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #13
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hiko kimshahara kidogo sana. Nadhani serikali bado haijafikia kulipa vizuri.

  Nenda kaangalieni kwenye Private sector watu wanavyolipa. Huyo DG akijua ghafla atataka ahamie huku hehehe

  Watu kulipwa USD 17,000 mambo ya kawaida sana!!!
   
 14. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #14
  Apr 27, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kaulize MD aliyeendoka mzungu pale NBC walikuwa wanampa ngapi teh teh teh :biggrin:
   
 15. Askari wa miguu

  Askari wa miguu JF-Expert Member

  #15
  Apr 27, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baada ya kukosa ajira kilichobaki ni kufantasize mishahara ya watu teh teh teh ujana kazi kweli kweli!!
   
 16. Tanganyika1

  Tanganyika1 JF-Expert Member

  #16
  Apr 28, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 396
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  ....hahaha we mkali yaani jamam ulikua kwa kichwa yangu. I was about to say that....wabongo tuna matatizo sana.
   
 17. ldd

  ldd JF-Expert Member

  #17
  Apr 29, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 794
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  ivi viwanafunzi vimezoea boom tu ndo maana vinashtuka .hapa kwetu mm nakula 4,5m bado marupurupu.
   
 18. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #18
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Mbona huo Mshahara unakaribia wa Walinzi wa BoT??? Best paying Best paying njoo boT uone watu wanavyokula bata.:whoo:
   
 19. analysti

  analysti JF-Expert Member

  #19
  Apr 30, 2012
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 704
  Likes Received: 354
  Trophy Points: 80
  Kinacholalamikiwa si mshahara mkubwa kama mshahara mkubwa, Bali ni tofauti kubwa za mishahara zilizopo katika serikali yetu kwa watu wenye sifa zinazolingana, na hata baina ya watu wenye sifa tofauti. Tofauti ni kubwa mno and they are shocking. Wakati mtu mmoja analipwa 10Ml mwingine analipwa 120,000/= Tsh. Tumeona askari mgambo wa halmashauri ya Ilala wakiwa wamegoma juzi, wanalipwa laki na ishirini, hakuna extra duty, hakuna malipo ya hifadhi za jamii wala chochote. Sasa hiki ndicho kinacholalamikiwa hapa.
   
 20. m

  mchukiaufisadi JF-Expert Member

  #20
  Apr 30, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 538
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Kwenye mifuko pension, DG wa LAPF ndiye mwenye mshahara mdogo. PPF DG anapokea basic salaryTshs 12M, Housing allowance 25%(Tshs 4,000,000), Fuel allowance Tshs 1,000,000(hii ni pamoja na kuwa fulll fueled VX V8) analipiwa house girl, houseboy na walinzi. Anapoanza mkataba wa miaka minne hupewa Tshs 57.6m anunue Furniture. Akimaliza miaka minne hupata Tshs 520M kama Group endowment(hizi anaiba), Tshs 144M as gratuity bila kusahau pension ya Tshs 115.2

  Mnamshangaa wa LAPF?
   
Loading...