Nlikua nasikia unaweza fanya kazi online.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nlikua nasikia unaweza fanya kazi online....

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by jembeFK, Sep 4, 2012.

 1. j

  jembeFK Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
 2. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Utalizwa uje kulalamika hapa
   
 3. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2012
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  mwambie kabisaaaaaa huyo!!!
   
 4. m

  markj JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  sasa hiyo nayo ni kazi? hahaha wa tz bana kazi kweli kweli, haya waingizie tu pesa boko haramu hao wanaijeria.
   
 5. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #5
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Mkuu ni kweli unaweza kupata pesa online ila sio rahisi kivile na sometimes pesa zake ni peanuts kuligana na kazi unayofanya..

  mfano kuna vitu kama PPC (pay per click) ambapo unaweza ukakuna unalipwa senti tano kwa clicks zaidi ya elfu moja au unalipwa malipo baada ya conversion (yaani mtu unayemrefer akinunua kitu unapata commission)

  au websites ambazo zina members (kama ebay n.k.) ukim-refer mtu unapata commission kutoka kwenye manunuzi au website zenye members fee ukimrefer mtu unaweza ukapata percentage ya subscription yake (pia kuna vitu kama google adwords) ambapo unanunua some keywords na unakuwa affiliate wa kampuni zinazouza vitu kwahio kama dalali vile ukileta wateja wakinunua kitu unakula commission

  Sio kazi rahisi mkuu ni ngumu..., kama vile offline ambapo Location matters (location, location, location) ukiwa sehemu nzuri utapata wateja wengi sasa online contents matters (ukiwa na content nzuri watu wengi watavisit na wengine wataclick ads au kununua vitu)

  Hence the only guarantee and good way ya kustream pesa ni either build a good website / blog yenye contents nzuri then weka matangazo utapata pesa.., au nunua keywords za google adwords kuwa affiliate wa bidhaa tofauti then watu wakinunua utapata commission.., hizi za kutegemea refer au PPC the work is more than the rewards
   
 6. thesym

  thesym JF-Expert Member

  #6
  Sep 6, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 2,442
  Likes Received: 2,178
  Trophy Points: 280
  Bro hao ni watu wa africa magharibi hayo mawebs wanaweka sana kwenye fb zile page kama CNN ambazo zinaangaliwa na wengi hivyo hao ni waongo.WAJINGA NDIO WALIWAO
   
Loading...