Naombeeni ushauri wa kikazi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naombeeni ushauri wa kikazi.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by F 4 REAL, Sep 1, 2012.

 1. F

  F 4 REAL Member

  #1
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naimani nyote mu bukheri wa afya,bila kupoteza muda mi naomba mnishauri nina diploma ya International relations and diplomacy kutoka pale chuo cha diplomasia kurasini.Then nimemaliza mwaka huu BAED pale chuo kikuu Dar es salaam(UDSM).sasa sielewi hatma yangu kiukweli sipendi kazi ya ualim hasa secondary napenda chuo lakin kwa bahati mbaya naona kazi nying za tutorial assistant wanahitaji GPA ambayo mi imepungua point 1 kufika nimekata tamaa kwakweli.Kama marafiki naombeeni ushauri career yangu iweje na ntafikiaje hayo malengo.Asanteni.
   
 2. T

  Tambuleh Member

  #2
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
 3. P

  Prince Hope JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 2,167
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  pole sana. but better upate experience ya secondary schools ili ufidie hiyo pt 1
   
 4. salosalo

  salosalo JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 579
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
 5. salosalo

  salosalo JF-Expert Member

  #5
  Sep 2, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 579
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  Mi nakushauri kafanye kazi ya kufundisha sekondari serikalini kisha omba mkopo benki wa pesa itakayo kutosha kulipa ada ya master, ukipata nenda master na utakuwa na vigezo vya kufundisha tutorial chuo
   
 6. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #6
  Sep 2, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Fanya kazi inayotokea,on the way utapata inayoweza kupatia nafasi na hela ya kusoma degree ya juu bila kusumbuliwa na hizo GPA kisha ukaja kuwa katik position ya kucompete na hao unaowaona wana GPA za kutisha leo.

  Wapo amarafiki zangu wengi tuu walipata matokeo mabaya njiani ktk form na wengine form 6,na wengine chuo ila kuna waliokuja fanya vizuri mbele zaidi ya waliopita moja kwa moja.Na leo ndio wanawapangia kazi kama si kuwafundisha.

  Usipoteze muda fany akazi inayokujia, hata huo ualimu kwa muda si mbaya, ila shule zenye watu wa mataifa mbalimbali ili kujiweka karibu na chances za kujiendeleza, kupata exposure hata za muda mfupi.Shule za kibongo hata mishahara hakuna kwa vile mkurugenzi kanunua prado zitaku frustrate.
   
 7. M

  Mohamedmussa Ng'onye Member

  #7
  Sep 2, 2012
  Joined: Jun 3, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unabahati tayari, ukisema hupend kufundisha unazid poteza baraka..anza na iyo sec then mengne yatafwata
   
 8. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #8
  Sep 2, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
 9. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #9
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
 10. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #10
  Sep 3, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,771
  Likes Received: 2,507
  Trophy Points: 280
 11. RORYAKWETU

  RORYAKWETU Member

  #11
  Sep 3, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  kumbe tumesoma wote udsm BAED ebu ni pm naomba kukufahamu vzr
   
 12. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #12
  Sep 3, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,771
  Likes Received: 2,507
  Trophy Points: 280
  sijawahi kufika chuo hayo unayoengea ata sikuelewi mimi darasa la saba kama mbunge wako wa rorya
   
 13. F

  F 4 REAL Member

  #13
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante mkuu
   
 14. M

  Mudamali Member

  #14
  Sep 5, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hauko peke yako ndugu, mwenyewe huwa naudhika vibaya mno. Aache ujinga wake, anakera sana.
   
Loading...