Mining engineering jobs | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mining engineering jobs

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by MKANDAHARI, Sep 8, 2012.

 1. MKANDAHARI

  MKANDAHARI JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 818
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 80
  Habari zenu wana JF, natumaini muu wazima wa afya! Ndugu zangun mm ni muhanga wa ajira, ninawaombeni kwa yeyote humu anaefahamu sehemu yenye ajira za Mining Engineering naombeni anijulishe. Nina Diploma in Mining Engineering na nshatuma ma-Cv ya kutosha lakn hali bado ni tete! Natanguliza shukrani!
   
Loading...