Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, Bw. Xavier Daudi amesema ofisi yake hivi sasa itakuwa ikitoa ratiba ya usaili mapema kila mara ili kuwawezesha wasailiwa kuwa na muda wa...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wana JF naomben taarifa cz cjasikia kuitwa kazin wala interview tangia hyo may za maafisa tarafa na zile za june kulikon/?MWENYE TAARIFA ANIPE PLZ
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mwenye project yoyote ile ya technology kama vile PHP VOIP MYSQL IOS Android tafathali piga 0714827339 hata kama unataka training au support (Cisco, Juniper, Open source softwear distro yoyote...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 42,NATAFUTA KAZI YOYOTE ILE,pia naweza kupatikana kwa email hii kachelenga@ovi.com
0 Reactions
4 Replies
2K Views
ni mwalimu mzuri wa biology na chemistry O level, nina uzoefu wa kufundisha kwa miaka 2 nataka kuhama hapa nilipo, naomba mwenye msaada awasiliane nami kwa pm,nawashukuru nyote
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa kitanzania, ,miaka 25, nina degree ya Accounting and Finance 2011..Natafuta sehemu (kampuni au taasisi ) ntakayo weza kujitolea, kufanya part time au kazi kwa mda ili kuweza...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa wale waliomaliza shahada ya ualimu (especially wale wanaofundisha physics) katika vyuo vinavyotambulika na bado wanasubiri kupangiwa nitafute nikuunganishe na shule moja ya private -iringa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
hivi zile za B.O.T ndio tayari watu wapo kazini au?
0 Reactions
0 Replies
855 Views
Nafasi muhimu kwa ajili ya mjasiriamali zipo Tunafanya Business na kampuni kubwa duniani ambayo ina matawi mengi sana na kwa Tanzania yapo matawi matano. Aina ya Business: Multilevel Business...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu, kuna jamaa yangu ameitwa kwenye round ya pili ya interview EAC sasa wamempa fomu ajaze pamoja na mambo mengine Mshahara anaohitaji. Anaomba ushauri wa range kwa mtu mwenye Masters Degree...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa wale wadau waliomba kazi kupitia utumishi tembelea website yao
0 Reactions
4 Replies
6K Views
jamani nina bachelor ya political science and public administration ya udsm, natafuta kazi inayoendana na sifa zangu hapa mwanza, kwa yeyote mwenye info ya kazi let me know. thank u
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Make money online. This really works. Open the link below to learn more ReferralTask.com Earn Money by inviting - 1$ per referral link visit
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mechaguliwa kujiunga na masomo ya udaktari 2012/2013 shahada ya 1 yani undergraduate-chuo cha IMTU kpo DAR,ada ni sh.6,250,000/= ukiachia na gharama nyingine ndogondogo km vle direct cost,bodi ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
hongereni mlio itwa kazini na secretariat ya ajira kwa usaili wa mwezi August 7 hadi 31. tujulishane iwapo barua tayar zipo posta kwa wakazi wa dar. www.ajira.go.tz
0 Reactions
9 Replies
8K Views
kwa waliofanya usaili secretariati ya ajira kwa mwezi august, bado hawajaita kazini? Naomba tujuzane mana tuliambiwa ndani ya mwezi na muda unazidi kwenda. Mwenye taarifa tafadhal!
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Kama unafuzu waweza jaribu bahati yako.. Communication ManagerSeptember 11, 2012 SOUTHERN AFRICAN CENTRE FOR INFECTIOUS DISEASE SURVEILLANCE (SACIDS)BACKGROUND: Southern African Centre for...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari wana jf..Natafuta kazi yoyote katika mkoa wa kilimanjaro au arusha au Iringa..nina diploma ya procurement and supplies mgt nimemaliza chuo mwaka jana.,.asanten
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wana jamii kwa wale anaohitaji hudma ya printing na Photocopying, Napenda kuwataarifu kua tunatoa huduma ya kuprint na copying za kawaida, tender document, michoro ya ramani na kadhalika...
0 Reactions
0 Replies
932 Views
Mjomba wangu anatafuta nyumba ya kufanyia biashara Arusha. Kwa mtaji wake anaweza kufaya biashara ya rejareja ( vitu vya nyumbani kama vyakula nk) Nje kidogo ya mji sifa: Eneo liwe lenye Usalama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom