Gep wamesha anza kuita watu kwa ajili ya oral interview | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gep wamesha anza kuita watu kwa ajili ya oral interview

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by tabu kuishi, Sep 6, 2012.

 1. t

  tabu kuishi JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 354
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kuna watu kazi wamepigiwa simu na gep kupewa taarifa ya kuitwa kwenye interview
   
 2. Man Ngosha

  Man Ngosha Senior Member

  #2
  Sep 6, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 198
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Mdau funguka vizur,ni kwamba kuna watu wamepigiwa au unauliza kama wameanza?
   
 3. t

  tabu kuishi JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 354
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Wameshamaliza kufanya selection ya watu wa oral interview nadhani leo wata anza kupiga simu kwa watu mbalimbali kwa ajili ya oral interview
   
 4. Penguin-1

  Penguin-1 JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 400
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Duh kwa ule mtihani....ngoja nitegemee miujiza
   
 5. S

  SAMJM Member

  #5
  Sep 8, 2012
  Joined: Sep 1, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Do hapa nikutegemea miujiza ya mungu itokee
   
Loading...