Nani anaweza nisaidia no. Za simu za waziri wa utumishi au katibu wake.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani anaweza nisaidia no. Za simu za waziri wa utumishi au katibu wake....

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by The hammer, Sep 4, 2012.

 1. The hammer

  The hammer JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 2,280
  Likes Received: 1,236
  Trophy Points: 280
  Naomba msaada wa no. Za simu za waziri au naibu wake/katibu mkuu wizara ya utumishi wa umma niwasiliane nae/nao.anaezifaham ani-pm please....
   
 2. +255

  +255 JF-Expert Member

  #2
  Sep 4, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,909
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  Kaangalie kwenye Web ya bunge!
   
 3. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Nenda ktk ofic zao kama upo mbal angalia kweny internet waweza pata
   
 4. g

  gkipaka Member

  #4
  Sep 6, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  subiri kidogo niangalie kuna list fulani ninayo
   
 5. g

  gkipaka Member

  #5
  Sep 6, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu cjaiona ile list naendelea kuichek km nikiiona ntakujulisha
   
 6. Tungaraza Jr

  Tungaraza Jr Senior Member

  #6
  Sep 6, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 196
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tanzama web ya Comedians (Bunge)
   
 7. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #7
  Sep 6, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,463
  Likes Received: 10,678
  Trophy Points: 280
  wewe sema shida yako bila woga.wote wamo jamvini watajibu
   
 8. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #8
  Sep 6, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  We m2 wang nadhan hazijatimia vizur, sasa tatizo lake ndo hilo anahitaji namba ya cm halafu mengine yatafuata.
   
Loading...