ajira mpya utumishi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ajira mpya utumishi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Eselo, Sep 5, 2012.

 1. E

  Eselo Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamni naomba mnijuze nasikia kuna ajira zimetoka za maafisa takwimu,vifaa,,ni kweli plz anayejua anisaidie
   
 2. k

  kizerui Member

  #2
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 3. dogojanja 87

  dogojanja 87 JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 885
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  hilo ni wenge la ujobless,hakuna kazi iliyotangazwa
   
 4. A

  Agrodealer Senior Member

  #4
  Sep 5, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 108
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hakuna kazi mpya kila siku huwa napita utumishi .com
   
 5. m

  mbogamtosi Member

  #5
  Sep 6, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  • :evil:
  fanya kazi zako mwenyewe acha utegemezi kama hakuna ajira huwezi fanya kazi
   
 6. M

  Mrembo kilimanjaro New Member

  #6
  Sep 6, 2012
  Joined: Sep 4, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HABARI MIMI SIJAWAHI KUWEKA POST JAMII SASA NASHINDWA PA KUWEKA ADI ITOKEE NA ISOMWE NA WOTE TAFHADHALI NISAIDIENI KULIPELEKA HIli swali langu PANAPOHUSIKA.
  Habari wadau!
  Mimi ninashida nimeona niilete hapa nanyi mnisaidie kwakuwa najua watu wengi wanapita Jamii hivyo nitapata ufumbuzi haraka.Nimeajiriwa na Kampuni moja inayojihusisha na BIMA "Broker".Nilikuwa moja wa waanzilishi na hivi sasa inamwaka na inafanya vizuri tu katika biasha.Nina mkataba ambao haujaeleza ni wa muda gani hivyo hilo limenipelekea kuhisi labda hiyo ndiyo "permanent contract"Tatizo ni kwamba juzi Bosi wangu ametuambia anafunga biashara kwakuwa inampa "Stress" na kutokana na ukweli kwamba adi sasa ajapata "leseni" hivyo anafunga na akifanikiwa kuipata leseni basi ataiuza kampuni yake.Kwa hivyo kuanzia sasa sisi tutafute kazi mahala pengine na kwamba he will provide a one month compensation package.
  Wadau swali langu ni je haki imetendeka hapo?Huwa inakuwaje kama mwajiri atavunja mkataba wa mfanyakazi?Ananiambia atanipa mshahara wa mwezi moja lakini Damages alizo sababisha ni kubwa kuliko hiyo pesa atakayonipa.Naombeni Ushauri wenu.
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Sep 6, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,267
  Likes Received: 19,407
  Trophy Points: 280
  nenda kwenye website yao.
   
 8. O

  Omseza Mkulu Member

  #8
  Sep 6, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mbona hujasema 'damage' ni kiasi gani unavyoona wewe binafsi. Pia ungechukua mkataba na kuwaona wanasheria maana hapa wengi si wanasheria /hatuna nakala ya huo mkataba ili kukupa maoni kama yupo sahihi.
   
 9. M

  Mrembo kilimanjaro New Member

  #9
  Sep 6, 2012
  Joined: Sep 4, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante.Mkataba ninao na pia hilo wazo la kumuona mwanasheria ninalo ila nataka kwanza anipe barua ya kunisimamisha kazi kabisa.Na kwa upande wa damage, kiukweli nilikuwa sina wazo la kurudi chuo mwaka huu lakini alipokuwa anatuajiri alituahidi kwamba hata mtu akienda kusoma offisi itamsaidia kiasi cha ada, sasa mimi naanza chuo mwezi ujao nikitegemea mshahara wangu kwakujua kazi ninayo ya kuniwezesha sasa gafla ananiambia kazi basi? alafu pia nimechukua mkopo mahala niendeleze mjengo wangu nikijua kwa kiasi cha mshahara wangu nitalipa bila matatizo leo yy ananiambia kazi basi si anataka niugue wazimu?shule nitaenda kweli? na deni je c ntafugwa?
   
 10. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #10
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Mrembo kilimanjaro...pole kwa ayo yote unayopitia. Kama nimekuelewa umesema bosi wako anataka kufunga biashara kwa kuwa hajapata leseni!na ww unahitaji kazi ivo akisimamisha biashara utamshitaki,na ww unakili hana leseni,je apo unapaswa kuwa na dhamira ya kushitaki kweli?au unataka kumkomoa na kumuongezea stress?turudi kwenye sheria za ajira,je mwajiri akiamua kumsimamisha kazi anampa notice ya muda gani?je anapaswa kumlipa sh ngapi?nijuavo ni one month gross salary,hapa ni kwa employment without specified term. Sasa unaanzaje kushitaki?na je umepata damage au damages?ikumbukwe izi ni terms zenye maana tofauti kabisa. Na kama unaweza kufanya kazi iweje uangaike kudai kisheria?natamani ungekubaliana na mwajiri kuwa stress za mwajiri mdogo kama uyo ni stress za wote. Wisely kubali kutafta kazi kwingne. Ni ayo tu.
   
 11. K

  Kipilime Senior Member

  #11
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Inaonekana bado inakuchanganya. Ofisi ya Raisi Menejiment ya Utumishi wa Uma, commonly known as Utumishi, ni wizara na sio Sekretariate ya Ajira yaani Public Service Recruitment Secretariat (PSRS). Wadau wengi pamoja na wewe wameku wakichanganya kwa sababu PSRS hawakuwa na Website hivyo matangazo yao yote yamekuwa yakipitia Utumishi, lakini sasa wamezindua tovuti yao rasmi. Go through PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT - PSRS na sio Public Service Management kama ilivyokuwa mwanzo.
   
 12. A

  Agrodealer Senior Member

  #12
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 108
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Namimi sizungumzii psm bali ni psrs mkuu
   
 13. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #13
  Sep 7, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Haaaa
  Afya unayo
  Nguvu unayo
  Elimu unayo
  Unasubiri nini??????

  Haya
  Ujuzi umeupata
  Hela """"" nadhani 1 milion haukose!!!
  Wateja wa huyo Boss, unawajua
  Wataka nini zaidi????

  Play your party.......
  Ongea na wafanyakazi wwnzako kama watatu, tengeneza mkataba 1/3 share holding
  Anzisha kampuni, weka jina safi, mnasimama as Broker!!!

  Baada ya miaka 10, haaaaaaa, mamilionea wa kutupwa!!!

   
 14. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #14
  Sep 7, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,198
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Unless kuna makubaliano ya zaidi lakini kwa kawaida Permanent na temporary contract zinaweza kuvunjwa na either of the parties, wewe au mwajiri wako. Unaweza kutoa notisi ya miezi mitatu na yeye anaweza kukupa notisi ya miezi mitatu kwa Permanent contract. Kwa temporary unaweza kutoa/kupewa notisi ya siku 28. Au kwa zote mbili unapewa/kutoa notisi ya saa 24 na mshahara wa mwezi mmoja... unalipwa au unalipa kutegema nani anayetoa notisi. Halafu huko Private kuna Permamanent Contract kweli? Mrembo kilimanjaro?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...