Mwalimu wa physics advance anaitajika shule moja ya private iringa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwalimu wa physics advance anaitajika shule moja ya private iringa

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by sajosojo, Sep 12, 2012.

 1. sajosojo

  sajosojo JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 817
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Kwa wale waliomaliza shahada ya ualimu (especially wale wanaofundisha physics) katika vyuo vinavyotambulika na bado wanasubiri kupangiwa nitafute nikuunganishe na shule moja ya private -iringa upate ajira lakini itabidi unilipe kama dalali kwa jinsi tutakavyo kubaliana....kwa info zaidi nichek 0713532322 note: mshahara utalipwa kulingana na viwango vya serikali kwa mwalimu mwenye degree
   
 2. sajosojo

  sajosojo JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 817
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Mshahara utalipwa kulingana na viwango vya serikali
   
 3. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  wanalipa sh ngapi
   
 4. SYENDEKE

  SYENDEKE Senior Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kuna jamaa yangu ana diploma vipi nikuunganishe naye
   
 5. M

  Mnyakatari JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,557
  Likes Received: 489
  Trophy Points: 180
  Sasa private italipaje sawa na serikali!
   
 6. sajosojo

  sajosojo JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 817
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  nipigie kama unahitaji for more info
   
Loading...