Natafuta nyumba ya kufanyia Biashara Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta nyumba ya kufanyia Biashara Arusha

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mparee2, Sep 11, 2012.

 1. Mparee2

  Mparee2 JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Sep 2, 2012
  Messages: 574
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 80
  Mjomba wangu anatafuta nyumba ya kufanyia biashara Arusha.
  Kwa mtaji wake anaweza kufaya biashara ya rejareja ( vitu vya nyumbani kama vyakula nk)
  Nje kidogo ya mji
  sifa:
  • Eneo liwe lenye Usalama
  • Eneo lenye mzunguko (wanaojua biashara wanafaham)
  • Karibu na shule/kanisa/taasis nk
  • Anaweza kulipa kodi kati ya shs 50 na laki moja kwa mwezi kulingana na eneo lililo patikana.
  • Kama mtu ana duka anataka kuachana nalo anaweza kuwasiliana naye wakaongea.
  Akipatikana mtu nitampa namba za mawasiliano ya moja kwa moja waongee.
   
 2. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,277
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Unapajua maji ya chai? Ni nje ya mji, chunguza ukipapenda ntakuunganisha na mtu
   
 3. Mparee2

  Mparee2 JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2012
  Joined: Sep 2, 2012
  Messages: 574
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 80
  Nashukuru; nitamtuma akapatembelee
   
Loading...