Natafuta kazi/kujitolea

SOKETI

JF-Expert Member
Jul 24, 2010
206
50
Mimi ni kijana wa kitanzania, ,miaka 25, nina degree ya Accounting and Finance 2011..Natafuta sehemu (kampuni au taasisi ) ntakayo weza kujitolea, kufanya part time au kazi kwa mda ili kuweza kuongeza uzoefu katika kufanya kazi.
 
Ni kwa sababu gani unataka kazi ya kujitolea mkuu wakati uwezekano wa kufanya kazi ya kulipwa upo?
 
nadhani baada ya kukosa kazi ya kulipwa na kila akiomba wanataka uzoefu. nadhani si wazo baya kama akipata wakati anaendelea kutafuta ili akili iwe sambamba na wakati na kutoka pia ni kazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom