kuitwa kazini usaili wa August 2012 secretariat ya ajira | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kuitwa kazini usaili wa August 2012 secretariat ya ajira

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by ba nso, Sep 10, 2012.

 1. b

  ba nso JF-Expert Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 605
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  kwa waliofanya usaili secretariati ya ajira kwa mwezi august, bado hawajaita kazini? Naomba tujuzane mana tuliambiwa ndani ya mwezi na muda unazidi kwenda. Mwenye taarifa tafadhal!
   
 2. ICHANA

  ICHANA JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,805
  Likes Received: 647
  Trophy Points: 280  plz jaribu kuweka maelezo mazuri ya kichwa cha habari una2changanya monday hii ok
  maelezo ya kichwa cha habar yako tofauti.omba m2 mweye taarifaa cio kujiandikia as kuitwa kazin
   
 3. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,849
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Kama ukiona kimya jua binafsi kuwa haukufanikiwa.
   
 4. b

  ba nso JF-Expert Member

  #4
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 605
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  aisee pole sana mkuu. Una tbrifa yoyote lakin?
   
 5. b

  ba nso JF-Expert Member

  #5
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 605
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  hasanteee...
   
 6. k

  kizerui Member

  #6
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 17, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani mi namshukuru mungu nimefanikiwa issues ya hombolo
   
 7. MJINI CHAI

  MJINI CHAI JF-Expert Member

  #7
  Sep 12, 2012
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 1,331
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  Hata siwaelewi!!!!!
   
 8. GP

  GP JF-Expert Member

  #8
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,076
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  wameita watu kazini tayari usaili wa mwezi 8, cheki website yao majina yapo.
   
 9. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #9
  Sep 12, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,319
  Likes Received: 468
  Trophy Points: 180
  Kwa sarufi yako tegemea maumivu.
   
 10. chumvichumvi

  chumvichumvi JF-Expert Member

  #10
  Sep 12, 2012
  Joined: May 6, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  umenishtua
   
Loading...