Naomba taarifa juu ya ajira za utumishi maafisa tarafa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba taarifa juu ya ajira za utumishi maafisa tarafa

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by ICHANA, Sep 12, 2012.

 1. ICHANA

  ICHANA JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,808
  Likes Received: 659
  Trophy Points: 280
  Wana JF naomben taarifa cz cjasikia kuitwa kazin wala interview tangia hyo may za maafisa tarafa na zile za june kulikon/?MWENYE TAARIFA ANIPE PLZ
   
 2. MKANKULE

  MKANKULE JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 422
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  fuatilia website ya utumishi utajua kila kinachoendelea kwenye matangazo yao
   
 3. z

  zar Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 13, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mm pia niliomba na huwa nafuatilia kwa ukaribu sana ajira na interview za utumishi bado hawajaita mkuu usiwe na shaka endelea kuvuta subira na kufuatilia kwa umakini sana,,
   
 4. nyaucho

  nyaucho Member

  #4
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Uciwe na hofu mkuu, katibu amesema hizo za maafisa tarafa na zile za state attorney wataita watu ndani ya huu mwezi kwa hiyo tuendelee kuchek tovut yao kila mara.
   
Loading...