Tunafanya Printing & Copying Work | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunafanya Printing & Copying Work

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by CADnet Africa, Sep 12, 2012.

 1. C

  CADnet Africa New Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 9, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari wana jamii
  kwa wale anaohitaji hudma ya printing na Photocopying, Napenda kuwataarifu kua tunatoa huduma ya kuprint na copying za kawaida, tender document, michoro ya ramani na kadhalika, size ni kuanzia A4, A3, A2, A1 na A0.
  Office zetu zipo Kijitonyama, akachube road karibu na somys showroom mkabala na masjid kijitonyama.

  Uwezo Wetu ni:
  A4 Mpaka pages 10000 klwa siku.
  A3 Mpaka pages 5000 klwa siku.
  A2 Mpaka pages 500 klwa siku.
  A1 Mpaka pages 300 klwa siku.
  A0 Mpaka pages 100 klwa siku.

  Bei zetu ni za kuprint:
  A4 400 kwa page. (300 per page zikiwa nyingi)
  A3 1000 kwa page. (750 per page zikiwa nyingi)
  A2 2000 kwa page. (1750 per page zikiwa nyingi)
  A1 3000 kwa page. (2750 per page zikiwa nyingi)
  A0 4000 kwa page. (3750 per page zikiwa nyingi)

  Bei zetu ni za copying:
  A4 100 kwa page. (50 per page zikiwa nyingi)
  A3 200 kwa page. (150 per page zikiwa nyingi)
  A2 1000 kwa page. (750 per page zikiwa nyingi)
  A1 2000 kwa page. (1750 per page zikiwa nyingi)
  A0 3000 kwa page. (2750 per page zikiwa nyingi)

  Karibuni sana
  Tafadhali wasiliana nasi kwa no. hii 0715697796
   
Loading...