Msaada wa kimawazo

SIR.NOM

Member
Sep 8, 2012
78
24
mechaguliwa kujiunga na masomo ya udaktari 2012/2013 shahada ya 1 yani undergraduate-chuo cha IMTU kpo DAR,ada ni sh.6,250,000/= ukiachia na gharama nyingine ndogondogo km vle direct cost,bodi ya mikopo wananipa sh.2,600,000/= tu lakn hali yangu ya kiuchumi inabana sana,naomba msaada wenu,ushauri nifanyaje ili niweze kuitumia nafasi hii na ninaipenda sana tena sana kutyoka damni,na tar.ya kuripot ni kuanzia 29/09/2012.
 
Nenda kwenye ofisi za balozi mbali mbali za nchi za ulaya huwa wanatoa udhamini na pia tembelea kiwanda cha bia cha serengeti pia kinatoa udhamini.
 
mkuu hukusoma tcu guidebook wakati una apply? Mbona ulikuwa na uwanja mpana wa kuchagua vyuo vyenye gharama nafuu kama UDOM na St. Francis cha ifakara. Au ndo kasumba ya kutaka kusoma DAR? Anyway mimi nakushauri ukae kikao na family mfanye maamuzi magumu kama kwenda benki kukopa ili uende chuo. Mfano ni benki ya NMB wanatoa mkopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu. Sikushauri kutokwenda chuo kama ukikosa hiyo tuition fees. From my experience, a friend of mine has missed out admission this year of studies simply because he did it last year. And he got admitted to SAUT, due to financial problems (he missed out loan) he postponed a year of studies. Mwaka huu aliapply tena lakini ajapangiwa chuo chochote. Postpone a year of studies does more harm than good. Wish you goodluck.
 
Ni ngumu sana kuingia chuo bila kuwa na reliable sponsorship. Ilitokea kwangu when i did my 2nd degree. Na ilini-frustrate to the extent that wenzangu wanasoma mm nahngaika kwenye balozi na big corporations ku-seek sponsorship. Muda ni mfupi unatakiwa kuruka nasi kutembea au kukimbia.
Ushauri wangu,nenda chuo ,lakn andika maombi wizara ya afya i they can sponsor ur studie hata km ni kuanzia mwakani. Then mwaka huu ule chips dume na maji mwaka uishe. Then mwakani uishi kwa amani kdg. Najua hyi private institution ujiandae kubanwa khs fee na mengine. Cheers na hongera!
 
Fanya mpango uhamie MUHAS kama cutting point zaruhusu,mdogoangu alichaguliwa ksmc kutokana na garama za fees kua juu akahamia mhimbili na maisha yaendelea
 
shika sana ELIMU usimuache aende zake kwani ndimo ulimo UZIMA wako,usifadhaike inua uso angalia mbele ungefanya utaratibu wa kujiunga na vyuo vya serikali angalau ada yake ni nafuu TCU na HESLB wanasemaje ulipo watembelea? ni muhimu kusoma chuo ulichotaja?
 
shika sana ELIMU usimuache aende zake kwani ndimo ulimo UZIMA wako,usifadhaike inua uso angalia mbele ungefanya utaratibu wa kujiunga na vyuo vya serikali angalau ada yake ni nafuu TCU na HESLB wanasemaje ulipo watembelea? ni muhimu kusoma chuo ulichotaja?
 
Wadau naomba mnisaidie mawasiliano ya OFISI YA KATBU MKUU,WIZARA YA AFA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom