Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Wanabodi wa JF!! Naombeni uzoefu kwa yoyote yule anaefahamu jinsi hizi Agencies zinavyotunga mtihani yao...hasa kwenye profession ya uhasibu. Nitashukuru kwa msaada............
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani napenda kwa heshima na taadhima kuwauliza wahusika na wasimamizi wakuu wa mtandao huu wa JF, Hivi jamani nyie hamna ofis?Na kama jibu ni ndiyo kwa maana ya mnazo ofisi. Je hamna nafasi...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Nina diploma ya education masomo ya histoy na geography. nina experience ya miaka 6, nataka shule zilizopo dsm. Ziwe private school, primary school au secondary haijalishi. Naomba msaada wenu...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Haya hapa jiangalie
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu heshima zenu ! ! Sisi ni kampuni ya binafsi ya wazalendo, Tumefungua matawi kadhaa hivi karibuni, ili kupata wafanyakazi wapya panahitajika taratibu kadhaa ikiwemo na udhamini, kwa kuwa...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Nashukuru sana kwa wana jf waliotuwekea link ya matokeo ya interview tar 8/12. Naomba kujua hiyo oral interview ya tar 13/12/2012 ya Land Officer itaanza saa ngapi na wapi? Nimejaribu kufungua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani wanajamii Forum leo nimeona nifikishe haya malalamiko kwa Wahusika SECRETARIAT YA AJIRA,inaonekana baadhi ya watumishi kaitka kitengo hicho sio waaminifu hata kidogo kwani katika mtihani...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wapendwa wana JF salamu kwenu. mimi ni Mtendaji wa kata mkoani kilimanjaro wilaya ya Siha. Natafuta mtu wa kubadilishana naye kutoka katika wilaya moja wapo kati ya Kinondoni, Ilala, Temeke...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Najua mnachelewa kutupia watu waliopita interview ya dec 8 coz mnachakachua ili muwaweke watoto wenu na shangazi zenu.koz toka asubuhi ya leo nyie mnazingua tu.wekeni watu kama vip waibukie plan...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa mwenye updates za interview ya tarehe nane duce, matokeo ya written na tarehe ya oral naomba kujuzwa tafadhali!
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jamani ebu tupeane mawazo kuhusu hawa jamaa wa PSRS: Tarehe 28 mwezi uliopita (Novemba) wameita watu kazini kwenye kada mbali mbali kama MEO,VEO,WEO na zingine nyingi. Katika tangazo la kuita...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Huu ndio ujumbe ninaokutana nao kila nikijaribu kuperuzi www.ajira.go.tz tangu jana,msaada wanJF Database Error: Unable to connect to the database:Could not connect to MySQL
1 Reactions
10 Replies
2K Views
hongereni wale mlofanya interview leo ya ututa, vp hali mmeonaje?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba msaada wa taarifa kwa anaejua kama SBC TZ Ltd tayari wameshaita kwa zile kazi walizotoa October mwaka huu,kuna mtu aliniomba nimjuze kuhusu hili namm cna info.zozote nkaona hebu niulizie...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Naomba kufahamu yafuatayo juu ya usaili unaotegemewa kufanyika pale Duce tarehe 15 Dec 2012. Je kutakuwa na kuunganisha interview zote mbili(written and oral) kama ilivyozoeleka, ile ya kufanya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Salaam wakuu,nimepata simu kwa mshikaji wangu kuwa nimeitwa kwenye usaili tar 15 dec ila akanambia nifuatilie zaidi. Wakuu mie nipo huku TANDAHIMBA nachonga vinyago vya kimakonde sasa inakua...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimekutana na tangazo hili la kazi. Changamkieni: A reputed Norwegian NGO (Voice of Children), working for fight against child sexual abuse and rescue rehabilitation, reintegration and prevention...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CAP Youth Empowerment Institute Kenya, is supported by MasterCard Foundation, was established to provide Basic Employability Skills Training (BEST) for disadvantaged youth in the society with...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Our client, one of the leading automotive service and repair centre in Nairobi, who also operates a restaurant, is looking for qualified candidates to fill in the positions of Operations...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WASH Program Manager – Afmadow, Somalia Solidarites International is an international humanitarian organization which provides assistance to populations who are victims of armed conflict or...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom