Pepsi wameshaita short list?

Kambiaso

Senior Member
Apr 2, 2012
144
250
Naomba msaada wa taarifa kwa anaejua kama SBC TZ Ltd tayari wameshaita kwa zile kazi walizotoa October mwaka huu,kuna mtu aliniomba nimjuze kuhusu hili namm cna info.zozote nkaona hebu niulizie JF naamini ntapata info za uhakika.
 
Sep 22, 2010
79
70
Watu walishafanya interview na wengine walishaanza kazi. Ni nafasi gani aliomba? Upande wa Engineering na Quality Control walishaanza kazi.
 

Mkuu rombo

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
1,556
1,225
aiseeeeeee babaangu huu ndio uzuri utamu na umuhimu wa jf 2mshukuru mwanzilishi
 
Sep 22, 2010
79
70
Taarifa za uhakika, kesho kunafanyika interview pale NDC Makao makuu kwa zile nafasi zilizotangazwa September kwa ajili ya kiwanda kinachojengwa Kibaha. Nawasilisha.
 
Sep 22, 2010
79
70
Taarifa za uhakika kutoka SBC (T) Ltd zinasema interview kwa nafasi za cashier bado haijafanyika. Ila jana walifanya interview kwa nafasi za Accounts.

Kuhusu nafasi ya Security Officer kwa hapa Dar haipo labda plant za mikoani.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom