Msaada plz

May 4, 2012
6
0
Nashukuru sana kwa wana jf waliotuwekea link ya matokeo ya interview tar 8/12. Naomba kujua hiyo oral interview ya tar 13/12/2012 ya Land Officer itaanza saa ngapi na wapi? Nimejaribu kufungua website yao inaaandika Account suspended. Na link mliyotuwekea humu jamvini inaonyesha tarehe ya interview tu, vipi kuhusu muda na venue? Msaada jamani kwa waliobahatika kupata full taarifa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom