Madudu tena utumishi?

Dec 12, 2012
69
14
Jamani wanajamii Forum leo nimeona nifikishe haya malalamiko kwa Wahusika SECRETARIAT YA AJIRA,inaonekana baadhi ya watumishi kaitka kitengo hicho sio waaminifu hata kidogo kwani katika mtihani wa mchujo uliofanyika tarehe 8-12-2012 pale Duce unasemekana uliliki kwani kuna mtu aliuliza maswali kabla ya mtihani ambayo ndio yale yale Yaliyomo kwenye ule mtihani wa COOPERATIVE OFFICER.Hali hii ilipotea ila kwa sasa imeanza tena ,jamani mbona hawa watu hawaeleweki wanakua kigeugeu,walianza kufanya vizuri na tulianza kuwasifu sasa wameanza tabia mbaya ya kulikisha mitihani.Badilikeni na Katibu achukue hatua ya haraka maana hii ni kashfa afanye uchunguzi wa haraka ili asiendelee kuharibu.javascript://
 
asante kwa taarifa watanzania acheni jukwaa la siasa njooni huku mtoe maoni kwenye topic zinazogusa maisha yetu na ajira zetu kwa ujumla.
 
ule mtihani wa mchojo kama kuna mtu hakusoma ushirika moshi lakini katoka bila ya kuoneshwa mtihani au kuigirizia sehemu basi anapaswa kabisa kuwa afisa ushirika. Utumishi walitoa tangazo kuwa watu wenye fani ya uhasibu, masoko na ushirika ndio wanaopaswa kuomba lakini cha ajabu kwenye mchujo wametoa maswari yote yanayohusu ushirika tena nondo hakuna hata moja la kutia porojo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom