Kuhusu utaratibu - usili wa tar 15 december 2012


salosalo

salosalo

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2012
Messages
579
Points
250
salosalo

salosalo

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2012
579 250
Naomba kufahamu yafuatayo juu ya usaili unaotegemewa kufanyika pale Duce tarehe 15 Dec 2012.

  • Je kutakuwa na kuunganisha interview zote mbili(written and oral) kama ilivyozoeleka, ile ya kufanya leo written kesho oral ukipita written?
  • Kama hakutakuwa na kuunganisha interview ya witten na oral kwa siku zinazofuatana, je inachukua muda gani mpaka majibu ya written interview yatoke? - hapa naomba uzoefu wa wale waliofanya interview ya tar 8 Dec 2012.
Naonba kujua haya ili nijipange kibajeti maana ni vingumu kupanga bila kujua utakaa siku ngapi Dar. Kama nitafanya na kuondoka pia itanisidia kupanga mipango ya kazi zangu ninazoziacha, ikiwa ni pamoja na kujua siku ya kufanya booking ya Fastjet.
 
white wizard

white wizard

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2011
Messages
3,389
Points
2,000
white wizard

white wizard

JF-Expert Member
Joined May 18, 2011
3,389 2,000
Kutokana na idadi kubwa ya wasailiwa wanaoitwa kwenye written interview inakuwa ngumu kuweza kusahihisha na kutoa majibu hapo hapo,kwa waliochaguliwa kuingia duru ya pili(oral).mfano waliofanya usaili jumamoc wameambiwa kuanzia j4 waangalie kwenye mtandao watakuwa wameweka majina ya watakaokuwa wamechaguliwa kwa duru ya pili,ambayo inaweza kuwa alhamic.
 
Mwana va Mutwa

Mwana va Mutwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2009
Messages
442
Points
195
Mwana va Mutwa

Mwana va Mutwa

JF-Expert Member
Joined Jun 9, 2009
442 195
hivi tar 15 wameita kada zipi?maana website yao haifunguki
 

Forum statistics

Threads 1,284,358
Members 494,038
Posts 30,822,736
Top