miezi sasa imepita tangu niwe uraiani baada ya kutoka chuo ajira ni ngumu, UNAMJUA NANI ndio wimbo kwa wote wanaobahatika ajira UNAJUA NINI kaa uwaelimishe familia yakotatizo jaman. bora mimi...
Hallo guys how tins?
I applied for totorial assistant post udsm, kuna mdau yoyote ana taarifa zozote kuhusu kufanyka kwa interview? We work as a team, youth social network, we achieve
naomba mnijuze niliambia ni hapa kinondoni karibu na baclays lakini nimeshindwa kutress direct kwani nilifika na kila ninae muuliza ana ni miss direct msada wakulu bhangeeee
Kwa waliomba kazi idara ya uhamiaji mwaka huu wametoa shortlist katika gazeti la mwananchi la jana tarehe 6/5/13 kwa aliyeomba hakikisha unalipata gazeti hili kujua kama umeitwa kwenye usahili.
Kila jambo lina faida na hasara zake.
1. Kwanza vijana wengi wataanza kupata mawazo ya kujiajiri. Baada ya kazi kufurika vijana wengi wataanza kutafuta njia mbadala ya kujipatia kipato na kwa...
Jamani nituma maombi kwenye hii foundation na jana walinipa kila kitu cha kufanya siku ya workshop kwa wale tulio kuwa selected hasa wa hapa dar.sasa naona wananichanganya kwani wanasema semina...
Hi everybody! Naitwa tinoh, nina degree ya computer engineering, i am much interested in networking system( networking simulation) , VSAT system(dishes), baada ya kutafuta kazi kwa mda mrefu bila...
DAH JANA MIDA YA SA3 USIKU NIMEPOKEA EMAIL KUTOKA KWA HAO JAMAA WANAJIITA "AFRICA SELF RELIANCE FOUNDATION" KAZI NILIOMBA WEEK MOJA ILIYOPITA KWAO.NI MATAPELI WAMENITUMIA NA MAJINA TULIOCHAGULIA...
Kwa kijana mwenye uwezo wa kufanya kazi ya video shooting na editing anatakiwa haraka, ila awe anapenda kujiajili maana hapa atapewa fursa na njia mbinu za kufanya kazi, itakuwa vizuri kama ana...
St john university dodoma juzi tar 10 may wametangaza nafasi ya database adminstrator deadline tar 16 may, anaitijika mtu mwenye degree/masters of comptr science mwenye 3years experience in a...
Jamani nilituma maombi kwenye hii foundation na jana walinipa kila kitu cha kufanya siku ya workshop kwa wale tulio kuwa selected hasa wa hapa dar.sasa naona wananichanganya kwani wanasema semina...
Hello Mwanajamii!
Natangaza kuwa kila aliye na uwezo wa kuchangamkia fursa za maendeleo afanye hivyo sasa sababu ipo fursa ya kipekee inayotoa msaada kwa wale wanapenda maendeleo. Fursa hii ni...
wadau, ndugu wana jf, mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa 3 UDSM,,nategemea kuwa mtaani kuanzia mwezi wa 7..natafuta sehemu ya kuweza KUVOLUNTEER,,wadau tafadhali, kila kazi wanasema tuwe na...
Mi ni mtoto wa maskini nimekulia kwenye shida nimefanya private candidate form six na kupata div 3 point 14 nataka kujiunga chuo mwakani lkn sina uwezo naomba msaada au info inayoweza kuniwezesha...
habari wanajamvi!
nimetumiwa mail kutoka kwa jamaa hao wanadai wanajihusisha na lottery katika draw ilofanyika mail yangu imeshinda wameweka no zao pale(winning no.)hivo inabidi nijaza form na...
Nilikuta tangazo hapa jamiiforums la kitengo cha uwezeshaji ofisi ya waziri mkuu young graduate entrepreneurship clinic ambapo training itafanyika udsm j3 ya tar13 mwezi huu, wamechagua watu 40...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.