Africa self realince foundation(asrf)

Africa self realince foundation(asrf)

malifimbo

Senior Member
Joined
Apr 2, 2013
Posts
129
Reaction score
32
Jamani nilituma maombi kwenye hii foundation na jana walinipa kila kitu cha kufanya siku ya workshop kwa wale tulio kuwa selected hasa wa hapa dar.sasa naona wananichanganya kwani wanasema semina itafanyika trh 22.5.2010 hapa blue pearl hotel na tulipie 10000(ELFU KUMI) then tutarudishiwa siku wa mwisho wa semina.naona km hawa ni matapeli kwani ukiwapigia simu uwaulizie wanakutumia sms kuwa wapo bize.

Mm naomba tuwasiliane kwa wale walio tumiwa sms tuone nn jinsi ya kufanya .ni pm au piga 0765268577
 
mimi mwenyewe moja wapo. wanadai kuonesha commitment ndo utoe ten but hawapo vizuri hawa jamaa. kwanza natafuta ngo yao kwenye mtandao siipati kwenye NGOs profile za TZ. if they are serious and not spammers time will tell but don't Mpesa them please.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom