Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Mimi ni mkazi wa dar,elimu yangu ni ya chuo kikuu,natafuta kazi ya kufanya kwa mda kwa kuwa kipindi hiki niko nyumbani,niliahilisha mwaka waa masomo kwa matatizo binafsi,niko tayari kufanya kazi...
1 Reactions
0 Replies
892 Views
Hawa jamaa wametoa fomu kwa waliopo chuoni kama upo mtaani inakuwaje utaratibu wazee tupeane mtaa pagumu bora kuwa hata riafande
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Taarifa kwa Umma kusuhu Tangazo la kazi la tarehe 26 Machi, 2013. Waombaji wa nafasi za kazi Serikalini kwa tangazo lililokuwa limetolewa tarehe 26 Machi, 2013 kupitia...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
click hapa PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT - PSRS
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina uzoefu wa miaka miwili nafasi ya meneja msaidizi wa kitengo katika kampuni kubwa ya sukari tanzania,nahitaji changamoto mpya za kikazi,watu wapya na mazingira mapya! naweza maji na...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Nyagoda wenzangu pitieni gazet la mwananchi la tarehe 6 may 2013 all the best walioitwa kwa intaview
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Kama uli apply pspf alaf jina lako halikuepo majina ya mwanzo..ebu fanya kucheki tena hasa ile post ya finance.majina ya mwanzo yaliishia kwenye g mwanzoni...langu halikuepo at first but now lipo...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
habari zenu wanajamii, mimi nilikuja hapa kuhusiana na kazi za IT na nilipewa maoni mengi tu nashukuru sana, ila kitu nilichojifunza ni kwamba tusichague kazi jamani.chonde chonde graduates...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu hebu nisaidieni na mimi nielewe; TUPO INDIA kwa Wahindi au hawa WAHINDI WAPO Tanzania kwetu? Nimesoma hili tangazo hapa chini nikashindwa kuelewa sababu hasa za huu ubaguzi ulioandikwa hapa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
There is a Need Does school prepare children for the real world? "Study hard and get good grades and you will find a high-paying job with great benefits," my parents used to say. Their goal in...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
jaman wadau natafuta nafasi kwa ajili ya short course au training specifically zinazohusu mambo ya sayansi particulary laboratory works, research methods, nematology, pathology and plant pest and...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Hi wanajamii kama kuna mtu ambaye alishalipitia hilo gazeti la mwananchi la tar 6 atuambie
0 Reactions
3 Replies
1K Views
You want /Know anyone who wants to import bulk cosmetics ..mascara, liners, suppressed powders, lipsticks / gLosses, Glitters, perfumes , Eye shadows , tatoo stencils..mwambie ani-PING 2A5FCADF //...
1 Reactions
0 Replies
773 Views
am looking for a teaching job anywhere in Tanzania.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamani mafunzo ya biashara kwa wajasiriamali na wafanyabiashara ndogondogo yanafanyika CHUO CHA CBE,muda saa kumi hadi saa kumi nambili,hudhurieni kupata fursa za kujiajiri mtasubiri saaaaaana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani walioomba nafasi mbalimbali leo hawa jamaa wametoa list kwa ajili ya written interview kwenye website yao...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Jeshi la waasi wa nchini kongo(M23) limetangaza nafasi 700 kwa proffesional(vijana wenye taaluma mbalimbali)ili kuweza kukabiliana na upinzani mkali unaotarajiwa kutoka katika vikosi vya...
1 Reactions
25 Replies
6K Views
Today 18590 Yesterday 17192 2013-05-14"> This week 39647 2013-05-12"> Last week 37452 2013-05-14"> This month 103961 2013-05-01"> Last month 318450 All days 2424128 Visitors...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada wa kufanya fild katika ofisi yoyote dar-es-salaam.Nasomea bachelor of information technology chuo cha IFM,Mwaka wa pili.Anaefaham naomba ani PM.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naandika kwa masikitiko makubwa mpaka najisikia machozi yananilenga, vijana wetu kila mmoja anataka afanyie kazi Dar, Dodoma au Morogoro, au mwanza na hata Arusha. Lakini leo hii nenda Mafia...
4 Reactions
23 Replies
4K Views
Back
Top Bottom