masaada wapi ilipo radar recruitment agecy

Will i.a.m

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Posts
347
Reaction score
49
naomba mnijuze niliambia ni hapa kinondoni karibu na baclays lakini nimeshindwa kutress direct kwani nilifika na kila ninae muuliza ana ni miss direct msada wakulu bhangeeee
 
Kinondoni?, labda kama wamehamia hivi karibuni, wapo hilo jengo la Baclays 5th floor, ohio street opposite na Serena hotel, zamani Sheraton. Au kama vip check kwenye website yao kila kitu hadharani.
 
Kwa msisitizo, Barclays ya POSTA!
 
hapo sawa kumbe posta na hapa baclays ya kinondoni karibu na hugo house hakuna recruitment agecy yoyote

Sahihi kabisa mkuu, palepale kwenye jengo la Barclays posta gorofa ya tano. Kama wamekuita kufanya test yao, kila la kheri.

Ubarikiwe
 
Back
Top Bottom