Kwa wale waliofanya interview written cku ya j'moc then wakaitwa kwenye Oral j'4 k'koo jamaa wameanza kufanya placement tayar ktk nafac za Client officer na Cashier na leo saa nane wameitwa ofisin...
ndugu zangu wana jf mimi nikija mwenzenu naetafuata ajira kila kukicha mitandaoni na man to man. sasa kilichonifanya kuomba ushauri leo ni kuwa kuna kazi ya data entry nimepata hapa kariakoo ni...
Wadau nasikia huko kazi zipi nyingi sana kuna kampuni nyingi na orfanization sasa zinawekeza huko? Kama kuna mdau yupo huko ama anajua link za kupata kazi huko tuwasiliane basi ama aweke data hapa...
Hello ndugu mwanajamii!
Napenda kukujulisha kuwa unaweza kufanikiwa kimaisha kwa namna nyingi. Maisha kawaida ni kama mchezo wa kamari na ndiyo maana wengi husema maisha hayana formula. Kwa...
Nahitaji mtu anayeishi maeneo ya mbezi,Kawe hadi kunduchi.Awe na uzoefu japo kidogo ya kufanya kazi kwenye internet cafe.
Serious Applicants rusha PM uniambie yafuatayo.
1) Your Minimum Salary...
Mimi ni mtu ambaye napenda sana kutengeneza electronic products. Nimemaliza chuo mwaka jana na baada ya hapo nimetumia muda wangu mwingi kufuatilia electronics design industry ilivyo kwa sasa...
New member,with love naomba niwasalimu humu ndani as am happy joining this site hope i will learn more than losing the little that i have
respect to u all.
Tujikomboe Microfinance Company (TCM) operates in Mbagala Dar es salaam. TCM is a newly established MFI (one year), striving for excellence to promote affordable microfinance in Tanzania.
Credit...
Mimi ni mwalimu nimesoma induction course (yaani leseni ya kufundishia sekondari) baadaye nimejiendeleza na kupata degree ya mipango, mwajri wangu anagoma kunibadilishia kitengo kwa madai kuwa...
Habari za wakat huu:
mm nimesoma Community development.Nimejarbu kwa uwezo wangu kulpia ada chuon mpaka nimehtim certfcate lakn nmenyimwa chet kwa kushndwa kumalzia ada sh 250,000/=ata fld...
kama kijana ulie maliza elimu yako nzuri nakupoteza muda mwingi katika masomo
pengine ingekuwa vizuri kupata fursa ya kujiajiri japo kwa mtaji mdogo, huku ukitafuta pesa kidogo ya kufanyia...
Habari Wana JF,
Nahitaji MSICHANA mwenye uzoefu wa kazi za SECRETARIAL SERVICES.
Ofisi ipo maeneo ya KIJENGE, Arusha,
SIFA:
Form IV
Certificate or Diploma in Secretarial Studies
Knowledge of...
The first very important thing to do when searching for a job is to network with friends, relatives or teachers. Often, relating with people gives you an opportunity to get information on which...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.