Africa self realince foundation(asrf)

Africa self realince foundation(asrf)

malifimbo

Senior Member
Joined
Apr 2, 2013
Posts
129
Reaction score
32
Jamani nituma maombi kwenye hii foundation na jana walinipa kila kitu cha kufanya siku ya workshop kwa wale tulio kuwa selected hasa wa hapa dar.sasa naona wananichanganya kwani wanasema semina itafanyika trh 22.5.2010 hapa blue pearl hotel na tulipie 10000 then tutarudishiwa siku wa mwisho wa semina.naona km hawa ni matapeli kwani ukiwapigia simu uwaulizie wanakutumia sms kuwa wapo bize.

Mm naomba tuwasiliane kwa wale walio tumiwa sms tuone nn jinsi ya kufanya .ni pm au piga 0765268577
 
Mkuu mimi nina wazo ebu jaribu kwenda kwenye hzo hoteli ujaribu kuulizia kama kuna event ya namna hyo kwenye tarehe iliyosemwa. Kama wanadanganya itajulikana tu kaka kwasabbu hawawezi kutangaza venue bila kfanya booking kwenye hzo hoteli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom