Ninahitaji msaada wa college fee.

Ninahitaji msaada wa college fee.

Joined
Apr 21, 2013
Posts
7
Reaction score
0
Mi ni mtoto wa maskini nimekulia kwenye shida nimefanya private candidate form six na kupata div 3 point 14 nataka kujiunga chuo mwakani lkn sina uwezo naomba msaada au info inayoweza kuniwezesha kupata msaada.
 
pole sana kaka ila nikushauri kitu kimoja sijajua uko wapi ila naona ungetafuta kitu uffanye kwanza ata kama ni kujihusisha na kilimo mfano bustani au ukafuga kuku sawa, hii hesabu ndogo 10x10x10= jibu unajua fikiria una kuku 10 kila kuku akizaa kuku 10 na hawa kuku ukwauza kwa sh 10000 utakuwa shilingi ngapi, kifikiria kuwa na mradi wako kwanza najua mwanzo mgumu ilia kitu kimoja zinagtia maishani MUDA WA KUTAFUTA PESA ILI UWE TAJIRI NI MIAKA 45 ILA ELIMU UNAWEZA SOMA ATA UKIWA MZEE mwanangu mimi nina degree ila sina ata mradi wowote na niko around 30 ndiyo naanza kujipanga ili kutafuta maisha niliwaza kama wewe kwamba nikimaliza chuo maisha yatakuwa rahisi ila mambo tofauti ata kazi sijapata najipanga kujiajili sijajua wewe maono yako ni yapi ila nimejaribu kuongelea uhalisia wa mambo asanteeni!
Mi ni mtoto wa maskini nimekulia kwenye shida nimefanya private candidate form six na kupata div 3 point 14 nataka kujiunga chuo mwakani lkn sina uwezo naomba msaada au info inayoweza kuniwezesha kupata msaada.
 
aise kaka pole xana mwana.najua ni mengi ulio/unayofkiria kuyafanya ya kmaendleo.uckate nia mkuu wewe co wa 1,funguka vzur 2jue 2nakusaidia vp,uko wp na komb gan umexoma.wawezaona mkasa wako ni mdogo kulko wa kwngu ulonikuta mwaka jana nkikusimulia.afu unataka kwenda chuo kikuu au dip bado hujasomeka mkuu,u wanna chek me through 0768228904
 
Back
Top Bottom