Canada International Lottery Promotion

Canada International Lottery Promotion

PAMPUXX

Member
Joined
Jan 6, 2013
Posts
39
Reaction score
6
habari wanajamvi!
nimetumiwa mail kutoka kwa jamaa hao wanadai wanajihusisha na lottery katika draw ilofanyika mail yangu imeshinda wameweka no zao pale(winning no.)hivo inabidi nijaza form na niwarudshie,kilichonishangaza email adress yao ni live.com na nyingine ni gmail.com, sijawaelewa hapo iweje kapuni itumie gmail na live na sio domain? isijekuwa ni akina OBINA(NIGERIA) wanataka kuniliza
naombeni kunielewesha hapa imekaaje au kama kuna mtu anaifahamu hii kampuni
natanguliza shukurani
 
Last edited by a moderator:
achana nao hao ni matapeli,ukishajaza hiyo form ukituma watakuambia tuma kiasi fulani cha pesa kama gharama za kukutumia zawadi yako,endelea kuchat nao lakini usitume pesa halafu utaniambia imekuwaje kama itaenda tofauti na nilivyokuambia
 
poa mkuu!
hii ndo mail yao waloituma...
 
Attachments

  • doc-1.jpg
    doc-1.jpg
    24.2 KB · Views: 69
  • doc-2.jpg
    doc-2.jpg
    63.8 KB · Views: 77
habari wanajamvi!
nimetumiwa mail kutoka kwa jamaa hao wanadai wanajihusisha na lottery katika draw ilofanyika mail yangu imeshinda wameweka no zao pale(winning no.)hivo inabidi nijaza form na niwarudshie,kilichonishangaza email adress yao ni live.com na nyingine ni gmail.com, sijawaelewa hapo iweje kapuni itumie gmail na live na sio domain? isijekuwa ni akina OBINA(NIGERIA) wanataka kuniliza
naombeni kunielewesha hapa imekaaje au kama kuna mtu anaifahamu hii kampuni
natanguliza shukurani

Ishia hapo hapo best, wez haooo, tena usilogwe ukatuma hata account no yako umekwishwa, hivi unafikiri nani anakupa hela ya bure siku hizi ambayo hujaifanyia kaz?????me nimeshatumiwa nyingi sana ila nikiiona hata huwa sisomi kwan nazidilete hapo hapo.
 
Last edited by a moderator:
matapeli hao,achana nao walinza kitambo mambo hayo na walishawaliza wengi
 
Ishia hapo hapo best, wez haooo, tena usilogwe ukatuma hata account no yako umekwishwa, hivi unafikiri nani anakupa hela ya bure siku hizi ambayo hujaifanyia kaz?????me nimeshatumiwa nyingi sana ila nikiiona hata huwa sisomi kwan nazidilete hapo hapo.

nimekuelewa na hawanipati ng'oo,lazima watakuwa ni akina Igweee hawa
 
Usishangae watakutumia message kila leo,kwa kukushawishi kuwa umeshinda kiwango kikubwa cha pesa,usije ukajiroga .............watakuumiza
 
ha ha ha umenikumbusha wakina igweeee hawa jamaa kila kona wanaogopwa sasa hivi yaani ukimuambia mzungu nimetokea huko utamuona anaanza kubadilika uso na wenyewe walishalijua hilo, nilikuwa na mdada katokea huko analalamika kweli anasema watu wachache wametuharibia sifa zetu kweli ila sasa hata huyo dada mwenyewe hajitambui yukoje maana nae kakaa kishari shari wakati wowote amaluingiza mjini lwe vipesa vidogovidogo, waghana wanawatania hawa jamaa kuwa yaani viongozi wa serikali yao wameamua kuwaacha wafanye wanavyofanya maana wameshindwa kuwa control
 
Back
Top Bottom