Mazingaombo ya nchi hii hayaishagi!hebu cheki hapo!!!!!!!!
NEEMA KWA WALIOFELI FORM 4:..MARKS ZAO ZITAPANGWA UPYA - MPEKUZI HURU
ou hii
NEEMA KWA WALIOFELI FORM 4:..MARKS ZAO ZITAPANGWA UPYA -...
Ndugu zangu wana JF, kwa wale wote walio apply NMB Lake zone, wameanza kuita leo, interview itakua tarehe 13 mwezi huu, simu zenu ziwe full charge,
Mwenyezi MUNGU awapatie maitaji ya mioyo yenu.
Jobs Board Career Information East Africa Star University is seeking qualified teaching and administrative staff who can serve as full time or part time employees as follow: Department Area of...
Nilikuta tangazo hapa jamiiforums la kitengo cha uwezeshaji ofisi ya waziri mkuu young graduate entrepreneurship clinic ambapo training itafanyika udsm j3 ya tar13 mwezi huu, wamechagua watu 40...
Natafuta kazi kwenye NGOs yeyote inayojishughulisha na maswaala ya jamii iliyopo Arusha au Moshi, nina shahada ya awali ya sociolojia,
barikiminja@gmail.com
Matrons wanatakiwa kwaajili ya shule ya bweni..wawe wazoefu wa kulea watoto wadogo na wenye umri usiopungua miaka 25.. wawe fluent in English na wanaoweza kuishi shuleni isipokua siku za off tu...
Wana,,jf,,mi ni mdada 21,kutoka mwanza nahitaji kazi kwenye vituo vya watoto yatima Arusha,,ili niweze kujiendeleza na chuo,elimu yangu ni kidato cha nne,
Napenda kuwasalm:Mm nimesomea Community development lakini kutokana na kushndwa kumalzia ada nmenyimwa chet changu. Kwa hyo natafuta kazi ya kufanya ili iniwezeshe kumalzia ada chuon ili npokee...
Mbona naona kama these agencies are not helpful jamani, mtu unasambaza CV kote ila none of them hata kuita kwenye interview does it mean mimi sina kigezo hata kimoja katika hizo kazi wanazoletewa...
Habari waungwana,natafuta part time kwa KUFUNDISHA masomo ya sayansi au computer courses,yeyote mwenye uhitaji/connection/ANAYEHITAJI TUFUNGUE KITUO naomba ani PM ili tufanye kazi,nina degree ya...
Wamebadilisha message be careful frndz. namba ya huyo mtu ni 0652795853
Morning, Nimepata Cv Yako Naifanyia Mchakato Upate Hii Kazi By Wednesday. Send 20,000 By Tigo Pesa Then Ntakupa Maelekezo...
By By Henry Mwangonde, The Citizen (email the author)
Posted Saturday, May 4 2013 at 12:23
IN SUMMARY
An overwhelming majority want to work in education at both Arusha Teachers College...
Assistant Accountant
POSITION: ASSISTANT ACCOUNTANT
Purpose of the Job
To assist in accounting for revenue collections and / or expenditure in compliance with
TRA Financial Regulations and in...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.