Plan International ni NGO ya kimataifa inayodeal na mambo ya kutetea haki za watoto, afya ya jamii, elimu kwa jamii na pia mambo ya water sanitation.Makao makuu ya Plan international kwa hapa Tanzania yapo pale karibia na TBC na baraza la mittihani NECTA.Ama naweza nikasema kuwa ukishuka gari kituo cha Bamaga palealipogongewa yule askari trafiki kama unatokea Posta ama K'koo vuka barabara ama kama unatokea Mwenge rudi nyuma fuata barabara ile ya kwenda NECTA ukinyosha na hicho kibarabara geti utakaloliface ndiyo humo kwenye nyumba kuna PLAN INTENATIONAL TANZANIA.All the best na Mungu awe nawe daima
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.